Sophoganyi
Member
- Jun 27, 2017
- 95
- 229
Oya siku hizi watu wanabadilisha jinsia. Nenda mambele wanakata mkunyenge unawekewa kipochi manyoya, uanze kuvaa maguo ya upinde, ila usikatize uganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakutana na transgender bado ndiyi utajua kuna watu wanafikia kabisa kujipa faraja kwa kubadili jinsia mwishowa simu stress zinakuwa nyingi wanajiuaKupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
Kama ni kick,basi hi imemwalibia badala ya kumjengaDuu huu uzi unatembea huu kila nikisema nimalize page ya mwisho Ni nachangie nikibonyeza page mpya 3 zimeongezeka 😂😂😂😂😂😂
Bora nicangie kabisa tu
HahahaNani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamsubiri mpwayungu uje umkunje kwenye kile kisofa kidogo, kumbe mda huo anamalizia umbea VICOBA maamae!Kupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
Shimba ya Buyenze hii vipi si inafaa kuipeleka katika uzi wetu pendwa ule?Ati mpwayungu village anatamani kuwa hivi.View attachment 2564936
One more men down.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo.
Huo mtindi ukiuegemea mpaka pua zina ziba!Ati mpwayungu village anatamani kuwa hivi.View attachment 2564936
Duh [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamsubiri mpwayungu uje umkunje kwenye kile kisofa kidogo, kumbe mda huo anamalizia umbea VICOBA maamae!View attachment 2564935View attachment 2564942
Ila leo rafiki yangu umeniangusha huu uzi ungeletwa namgine sio wewe navo jua msimamo wako Komanda umetuangusha sanaaa leo.Not possible guy, you will only change external structure but you can't be biologically woman, there is no way out for womenization
Bora kuzaliwa mwanaume.
Kuzaliwa mwanamke ninoma imagine unawekwa chuma mboga uk unaingizw.........
All the tym hua wanatamani hivyo sasa unashangaa jitu kama hilo linataka kwenda kuukaliaNiliwahi kuwasikia Wanawake wawili tofauti wakisema LAITI NINGEKUA MWANAUME BASI WANAWAKE WANGEKOMA WANAUME WANAFAIDI SANA nikabaki kucheka tu