Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Mwanamke ni rahisi kusaidiwa apatapo shida kuliko mwanaume, mwanaume unapambana mwenyewe mpaka unasema poo
 
Hahahaha mpwayungu village once again πŸ˜…πŸ˜…πŸ€” thanks for making my satoo πŸ˜…πŸ˜…πŸƒ
 
Hujui Kwa mwanamke kuliwa kwake ni starehe? Ndio maana wanasikia utamu kwahiyo kuliwa kwao ni advantage
 
Hivyo vitu vidogo sana, visingenizuia kuwa mwanamke
 
Elomenopiqu at work
 
Mtoto wa kike ndo shughuli mzee, wa kiume unawaza nini sasa mkuu
Nenda ugenini ukose sehemu ya kulala tuone Kati ya wewe na mwanamke Nani atasaidiwa PA kulala haraka iwezekanavyo kuliko mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…