Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kwahiyo unaona bora ungekuwa unapumuliwa kisogoni
 
Mbona mnawaza ngono tu jamani! Ko mwanamke ni ngono tu hakuna kingine
 
Itoshe tu kukushauri Mkuu "Tafuta Pesa, tafuta Pesa, ukimtanguliza Mungu mbele''



hao Wanawake, walipewa Tobo Kwa sababu kuu tatu


👉Wampe Raha Mwanaume.
👉njia ya kuzalia mtoto .
👉Wawe wasaidizi wa majukum ya kifamilia wakati Mwanaume Yuko juani anapigwa na Jua, jasho linamtoka.




Kuukimbia Uanaume maana yake, unataka vya kupewa, mdebwedo !!.
 
Kwa post za uyu jamaa nilishaanza kuhisi hayuko sawa,ipo siku watu watakuinamisha kweli,..maana mara nyingi aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea[emoji144]
 
Acha apate alichokitaka wala hatutoi ushauri wala nini, mwanaume unatamani kuwa jike? Serious? Nyie haki za binadamu naona mnataka kuvamilia uzi, mnataka kuhalalisha wazo la jamaa kutamani kuwa jike?.
Kwa sababu kasema Wana fursa nyingi kuliko yeye mwanaume. So issue hapa ni namna gani tunapo embrace mambo ya feminism na gender empowerment basi wanaume tusiachwe nyuma otherwise mwanamke anavyopandishwa Hadhi ndio mwanaume anazidi kupotezewa.

Mfano issue kama hii anashauriwa how akibaki mwanaume ataweza toboa bila "connection" au "advantage ya kuwa mwanamke". Sio kusema amekua shoga.

Nakumbuka Kuna mtu aliwahi anzisha thread humu akasema anatamani kufa na amekata tamaa ya kuishi. Watu wakaishia kusema anakufuru, mara aolewe, mara kachanganyikiwa n.k. bila kuangalia amesema hayo kwa muktadha upi. Baada ya miezi kadhaa ikapostiwa humu kuwa kafariki ndio watu wakaanza jutia comments zao.

So tusiwe too serious Mitandaoni, tujifunze kuwa na ustahimilivu na positivity kuliko mawazo hasi tu.
 
Toka lini bichwa komwee likawa na akili? Kwanza ukifuatilia comments zako humu ndani wewe ni kitu lenye wivu, roho mbaya, husda na kijicho juu. Halafu kwa uandishi wako ni lazima elimu yako ni ya kuunga unga ( a.k.a hapa na pale)
 
Asante Kwa ushauri [emoji120]
 
I’m proud to be a woman, hata kama kuna kuzaliwa tena nataka nizaliwe mwanamke [emoji3590][emoji182]
Hongera, huku tulipo tunaipata ngondo joto la jiwe [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…