Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Bwashee Bora nimezaliwa mwanaume!! Nafaidi sana papuchi na kunyonya embe dodo, hivyo vingine imeandikwa nitakula kwa jasho siku zote za maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anafaidi sana tendo la ndoa kuliko mwanaume, hawa watu wakifika kwenye orgasm huwa wapo mrua mwaka mzima
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Utakuja kustuka umeshachezea wewe, shauri yako.
 
Kwaio na ww ungekua unamegwa keki ili unyooshewe njia
 
Eeeh huyu mwana wenu mnahakika akili zake ziko sawa?
 
Back
Top Bottom