Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Mwanaume ana gametes X,Y
Hivyo ndani ya mwanaume kuna Mwanamke.
Ila ndani ya Mwanamke hakuna mwanaume.

Sema nini, unajua kucheza na Akili za Watu humu Ndani. Unachohitaji ni attention na mapovu ya Watu.[emoji23][emoji23]
Mkuu upo sahihi ila huwez kuwa mwanamke kamwe, utabadili ujuavyo ila hutakuwa mwanamke kibayolojia
 
Screenshot_20221208-163327_WhatsApp.jpg
kweli kabisa mpwayungu village unatamani kuwa hivi?
Jichanganye uone utakavozagamuliwa mpka upauke.
Pumbav sana
 
I get your point and that's why Feminism was supposed kupunguza iyo burden kwa wanaume kila kitu wao but kinachonikera ni unafki wa many women who earn their money but bado kila kitu wafanyiwe na wanaume. Wanaume mkatae huu ufala 100% it's ok kusaidiana kw shida and iwe vice versa Km she feels entitled kila kitu Achana naye kuwa mkali. Hii tabia inawaharibia savings many men kulea limtu limekaa tu kheri kahaba kabisa anayejiuza u know u pay u JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala kuliko such women waliolelewa kw privilege, maisha mazuri, wamesoma Shule expensive wanalipwa vzuri bado yanataka yahudumiwe kila kitu; for such stupid women wasipopelekwa shule utakosea au kuwanyima urithi coz yanategemea wanaume tu? Siyapendi haya mawanawake kwa kweli na midume zoba inayowadekeza. Trade for Trade Men.
Upo smart sana, wewe pekee ndie ulienielewa.
 
Dah! Mwenzetu ndo hivo tena amekimbia kambi. Sifa kuu ya mwanaume ni kupambana na kutatua changamoto zinazokukabili, sasa wewe mwanaume unataka usipate changamoto unataka kupakatwa?
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom