Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]

Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi gamboshi unazingua sasa
 
188AFF55-39DF-4ACE-9EA7-13A9A2CB7929.jpeg
 
Write your reply...hizo sababu hazina mashiko kabisa, pamoja na magumu ambayo wanaume tunapitia lakin asilimia kubwa tunajivunia jinsi tulivyo, hakuna mwanaume ambaye hutaman kuwa mwanamke hata siku moja wewe utakuwa unamatatizo yako binafsi
Kwa upande wako upo sahh
 
Mwanaume rijali hawezikubali hata kufananishwa na mwanamke siyo tu kutamani kuwa mwanamke, nahisi utakuwa na hormony za kike.
Mwanaume has XY na Mwanamke has XX
Nani aliyeborrow zaidi kwa mwanamke???😂😂😂 plus all fetus starts as female and later ndo males can develop and because of a mutation ndo inakuja Y so biologically speaking Female is the standard and male wanadevelop from females Ndo maana most Transexuals are males and most homosexuals pia are males 😂😂😂
 
Back
Top Bottom