Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Zamani ilikuwa ukijaaliwa kupata mtoto wa kike moyo lazima ukuende mbio jinsi ya kumlea. Ila sasa ukipata mtoto wa kiume unakuwa na wasiwasi zaidi asije kuwa mchicha mwiba katikati ya safari ya maisha.

Kuna kitu kama taifa naona hakiko sawa, yaweza kuwa;
  • Utandawazi umezidi,
  • Hofu ya Mungu imekwisha au watu wa dini hawafanyi kazi yao ipasavyo,
  • Vyakula tunavyokula,
  • Hali ya maisha kuwa ngumu kupelekea watu kupenda kitonga na ganda la ndizi.
 
Sioni shida kuelewesha wapumbavu, nitawaelewesha mpaka mtanielewe tu kama wale walimu malofa
 
Point ya mwisho ndio iliyosababisha mtoa mada akaleta uzi.
 
Upo sahihi. Hata mm napinga ushoga

N. B. Shoga sio mwanamke ni mwanaume, mm nilisema nilitamani kuwa mwanamke
 
Mwache ajichanganye tumpe ubatizo wa mkuyenge [emoji1787]
Mkuu akili zako ndozimefika mwisho au utani? Mimi nimezungumzia faida za mwanamke kiuchumi ana fursa kubwa ya upendeleo kuliko sisi wanaume. Mwanamke anasaidiwa ila sisi tunaambiwa pambana wewe ni mwanaume

Shida yenu mnawaza ngono tu kuliko vitu vya msingi. Ivi hujui wabunge Viti maalum nivyawanawake tuu nasio wanaume

N. B. wengi wanasema ushoga kumbuka shoga sio mwanamke ni mwanaume. Nachukia ushoga
 
Huuu ni uongo mtamu mkuuuu ulisikia wapi hii kitu

Kwaiyo mond anaweza kudangwa na demu yoyote daaaaah hii ni pumba ya karne aseee


Ni hivi kama mwanaume tajiri hakumanyi hamna ke itakayoweza kumtegesha na nina mf hai mingi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio mfumo wa maisha ya duniani umewapendelea tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…