Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Zamani ilikuwa ukijaaliwa kupata mtoto wa kike moyo lazima ukuende mbio jinsi ya kumlea. Ila sasa ukipata mtoto wa kiume unakuwa na wasiwasi zaidi asije kuwa mchicha mwiba katikati ya safari ya maisha.

Kuna kitu kama taifa naona hakiko sawa, yaweza kuwa;
  • Utandawazi umezidi,
  • Hofu ya Mungu imekwisha au watu wa dini hawafanyi kazi yao ipasavyo,
  • Vyakula tunavyokula,
  • Hali ya maisha kuwa ngumu kupelekea watu kupenda kitonga na ganda la ndizi.
 
Lilikua ni swala la muda, we ulishajichanganya kuleta hii mada sema ukatumia ujanja kuonekana huja panick ili watu wachukulie poa tu, ukawa una like comments hata wakikutukana, ila nilijua lazima tu utaumia utaanza kutukana na wewe, it was just a matter of time

Umefeli pakubwa tu na navyoijua jf Kila mchango wako hapa utakosolewa kwa kutumia hii mada yako..

Hapa nakuona utakuja na Id mpya, nalo ni swala la muda pia
Sioni shida kuelewesha wapumbavu, nitawaelewesha mpaka mtanielewe tu kama wale walimu malofa
 
Point ya mwisho ndio iliyosababisha mtoa mada akaleta uzi.
Zamani ilikuwa ukijaaliwa kupata mtoto wa kike moyo lazima ukuende mbio jinsi ya kumlea. Ila sasa ukipata mtoto wa kiume unakuwa na wasiwasi zaidi asije kuwa mchicha mwiba katikati ya safari ya maisha.

Kuna kitu kama taifa naona hakiko sawa, yaweza kuwa;
  • Utandawazi umezidi,
  • Hofu ya Mungu imekwisha au watu wa dini hawafanyi kazi yao ipasavyo,
  • Vyakula tunavyokula,
  • Hali ya maisha kuwa ngumu kupelekea watu kupenda kitonga na ganda la ndizi.
 
Zamani ilikuwa ukijaaliwa kupata mtoto wa kike moyo lazima ukuende mbio jinsi ya kumlea. Ila sasa ukipata mtoto wa kiume unakuwa na wasiwasi zaidi asije kuwa mchicha mwiba katikati ya safari ya maisha.

Kuna kitu kama taifa naona hakiko sawa, yaweza kuwa;
  • Utandawazi umezidi,
  • Hofu ya Mungu imekwisha au watu wa dini hawafanyi kazi yao ipasavyo,
  • Vyakula tunavyokula,
  • Hali ya maisha kuwa ngumu kupelekea watu kupenda kitonga na ganda la ndizi.
Upo sahihi. Hata mm napinga ushoga

N. B. Shoga sio mwanamke ni mwanaume, mm nilisema nilitamani kuwa mwanamke
 
Mwache ajichanganye tumpe ubatizo wa mkuyenge [emoji1787]
Mkuu akili zako ndozimefika mwisho au utani? Mimi nimezungumzia faida za mwanamke kiuchumi ana fursa kubwa ya upendeleo kuliko sisi wanaume. Mwanamke anasaidiwa ila sisi tunaambiwa pambana wewe ni mwanaume

Shida yenu mnawaza ngono tu kuliko vitu vya msingi. Ivi hujui wabunge Viti maalum nivyawanawake tuu nasio wanaume

N. B. wengi wanasema ushoga kumbuka shoga sio mwanamke ni mwanaume. Nachukia ushoga
 
Wanawake wengi ni Job less ni kwa vile kwa takwimu wao ni wengi kuliko wanaume.

Ila mwanamke anaweza kumpata mwanaume amtakae kirahisi tofauti na mwanaume.

Mwanamke akitaka kuolewa na mtu mwenye mafanikio (ataweka target zake kichwani ataangalia je huyu jamaa ana Gali?, ana Fedha?, Ana kazi? etc) kisha ataweka mitego ya kujibebisha ili uingie king akupate kisha na yeye ataishi kiulaini kupitia mafanikio yako wewe mwanaume.

Tofauti na mwanaume ukiwa choka mbaya madem wakali wote watakuwa mashemeji zako tu.
Huuu ni uongo mtamu mkuuuu ulisikia wapi hii kitu

Kwaiyo mond anaweza kudangwa na demu yoyote daaaaah hii ni pumba ya karne aseee

Ni hivi kama mwanaume tajiri hakumanyi hamna ke itakayoweza kumtegesha na nina mf hai mingi tu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu akili zako ndozimefika mwisho au utani? Mimi nimezungumzia faida za mwanamke kiuchumi ana fursa kubwa ya upendeleo kuliko sisi wanaume. Mwanamke anasaidiwa ila sisi tunaambiwa pambana wewe ni mwanaume

Shida yenu mnawaza ngono tu kuliko vitu vya msingi. Ivi hujui wabunge Viti maalum nivyawanawake tuu nasio wanaume

N. B. wengi wanasema ushoga kumbuka shoga sio mwanamke ni mwanaume. Nachukia ushoga
Ndio mfumo wa maisha ya duniani umewapendelea tayari.
 
Back
Top Bottom