Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

MNAAANZAGA HIVI HIVI KUELEKEA KWENYE SURGERY
 
Siwezi kukupinga Kwa kuwa sina uwezo wakufanya research practically, ila ukweli unaonekana. Jiulize Kwa nini vifo vingi nivyawanaume
KWA sababu wanabeba mzigo mzito wa moyo kubeba maumivu ya malezi mabovu aliyopata mtoto wa kike utotoni.
Unakutana na stress za mwanamke pasua kichwa mtata mbabe mtemi usipokimbia lazima ufe KWA kauli kali halafu chafu
 
Sas kama umetaman kua mwanamke mwisho wa siku SI utakua kama RAMA Ili na wew upate kuafanana na wanawake JAPO kwa 70% pia utakua unanunuliwa vidali na chips kama wanawake ..MKUU TUSIFIKE HUKO NI KUBAYA ......
 
Unatamani sana kupata attention na "special" treatment.

You were neglected as a child. Bisha.
 
Duh, pole sana.
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Licha ya kuolewa, atatatuliwa linda kwa tamaa zake za kijinga.
 
Still una nafasi ya kupata hayo yote bila kua mwanamke...Tafta basha or Bwana Uolewe...Tena ukienda ughaibuni utapewa kipaombele kabisa na uanamke wako...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ameneee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…