Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
MNAAANZAGA HIVI HIVI KUELEKEA KWENYE SURGERY
 
Unasikitisha sana...

Hilo dume lilikua na mawazo kama yako, hatimae limejibadilisha na kua demu...

Screenshot_20230327-040007.jpg
 
Siwezi kukupinga Kwa kuwa sina uwezo wakufanya research practically, ila ukweli unaonekana. Jiulize Kwa nini vifo vingi nivyawanaume
KWA sababu wanabeba mzigo mzito wa moyo kubeba maumivu ya malezi mabovu aliyopata mtoto wa kike utotoni.
Unakutana na stress za mwanamke pasua kichwa mtata mbabe mtemi usipokimbia lazima ufe KWA kauli kali halafu chafu
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Sas kama umetaman kua mwanamke mwisho wa siku SI utakua kama RAMA Ili na wew upate kuafanana na wanawake JAPO kwa 70% pia utakua unanunuliwa vidali na chips kama wanawake ..MKUU TUSIFIKE HUKO NI KUBAYA ......
 
Sipati faida yoyote Ile zaidi ya kuongea ukweli wa moyo wangu kuwa mwanamke ana fursa kubwa naanapendelewa kuliko mwanaume inafika Mahala mpaka wabunge Viti maalum ni wanawake tuu wanaume hamruhusiwi

Nenda ugenini uombe hifadhi kama utapata ila mwanamke chapu tu anapata hifadhi

Nenda kwenye kampuni lenye fani yako uombe kazi ya kujitolea uone ilivyo mbinde kupewa hiyo fursa hata kama niyakujitolea Lakin Kwa msichana anapewa siti ya mbele na breakfast Bure

Pata shida ya pesa uone kati ya wewe na msichana Nani atapata msaada wa haraka

Hata ukienda bar na marafiki zako usiwaamini wanaweza kukutelekeza kukununulia bia japo mliondoka geto pamoja muende ukanunuliwe ila kufika bar mwamba ananunulia bia demu alomkuta bar hata hawajuani wewe unanunuliwa konyagi moja tu afu unaambiwa inatosha ila demu anapigwa soft drink kama savanna, desperado wewe unapigwa ngumu kumeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Chunguza hata hawa madogo wanaotembea mitaani kusajili line Kwa makundi wengi wanaotembea na mademu wote wanasajili line, lakini kila sehemu ataitwa demu aende kumsajilia mteja line

KWENYE mabar Kuna wahudumu mpaka wakiume uliza kati ya mwanaume na mwanamke Nani anafaidi Ile kazi. Barmaid wa kike ataachiwa chenji Kwa siku sio chini ya buku ten ila wa kiume anaondoka kapa mpaka mda wa kufunga bar.
Unatamani sana kupata attention na "special" treatment.

You were neglected as a child. Bisha.
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Duh, pole sana.
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Licha ya kuolewa, atatatuliwa linda kwa tamaa zake za kijinga.
 
Still una nafasi ya kupata hayo yote bila kua mwanamke...Tafta basha or Bwana Uolewe...Tena ukienda ughaibuni utapewa kipaombele kabisa na uanamke wako...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ameneee
 
Back
Top Bottom