Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MNAAANZAGA HIVI HIVI KUELEKEA KWENYE SURGERYKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
KWA sababu wanabeba mzigo mzito wa moyo kubeba maumivu ya malezi mabovu aliyopata mtoto wa kike utotoni.Siwezi kukupinga Kwa kuwa sina uwezo wakufanya research practically, ila ukweli unaonekana. Jiulize Kwa nini vifo vingi nivyawanaume
Sas kama umetaman kua mwanamke mwisho wa siku SI utakua kama RAMA Ili na wew upate kuafanana na wanawake JAPO kwa 70% pia utakua unanunuliwa vidali na chips kama wanawake ..MKUU TUSIFIKE HUKO NI KUBAYA ......Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Unatamani sana kupata attention na "special" treatment.Sipati faida yoyote Ile zaidi ya kuongea ukweli wa moyo wangu kuwa mwanamke ana fursa kubwa naanapendelewa kuliko mwanaume inafika Mahala mpaka wabunge Viti maalum ni wanawake tuu wanaume hamruhusiwi
Nenda ugenini uombe hifadhi kama utapata ila mwanamke chapu tu anapata hifadhi
Nenda kwenye kampuni lenye fani yako uombe kazi ya kujitolea uone ilivyo mbinde kupewa hiyo fursa hata kama niyakujitolea Lakin Kwa msichana anapewa siti ya mbele na breakfast Bure
Pata shida ya pesa uone kati ya wewe na msichana Nani atapata msaada wa haraka
Hata ukienda bar na marafiki zako usiwaamini wanaweza kukutelekeza kukununulia bia japo mliondoka geto pamoja muende ukanunuliwe ila kufika bar mwamba ananunulia bia demu alomkuta bar hata hawajuani wewe unanunuliwa konyagi moja tu afu unaambiwa inatosha ila demu anapigwa soft drink kama savanna, desperado wewe unapigwa ngumu kumeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chunguza hata hawa madogo wanaotembea mitaani kusajili line Kwa makundi wengi wanaotembea na mademu wote wanasajili line, lakini kila sehemu ataitwa demu aende kumsajilia mteja line
KWENYE mabar Kuna wahudumu mpaka wakiume uliza kati ya mwanaume na mwanamke Nani anafaidi Ile kazi. Barmaid wa kike ataachiwa chenji Kwa siku sio chini ya buku ten ila wa kiume anaondoka kapa mpaka mda wa kufunga bar.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unasikitisha sana...
Hilo dume lilikua na mawazo kama yako, hatimae limejibadilisha na kua demu...
View attachment 2567421
Huyu ni shoga sio mwanamke, shoga ni mwanaume hapo kabadili mwonekano tuUnasikitisha sana...
Hilo dume lilikua na mawazo kama yako, hatimae limejibadilisha na kua demu...
View attachment 2567421
Kabadili na sehemu za siri pia...Huyu ni shoga sio mwanamke, shoga ni mwanaume hapo kabadili mwonekano tu
Duh, pole sana.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Licha ya kuolewa, atatatuliwa linda kwa tamaa zake za kijinga.Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Still una nafasi ya kupata hayo yote bila kua mwanamke...Tafta basha or Bwana Uolewe...Tena ukienda ughaibuni utapewa kipaombele kabisa na uanamke wako...