Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kuku bwege tena aliekosa haya😏😏😏
Kipindi anaanza sisi tulisema tukaonekana wakorofi. Kuwa huyu jamaa siyo riziki na sasa mnaona anatamani awe mwanamke.... Sirini amefanya mangapi ya kutaka awe mwanamke? Ndo maana siku za karibuni nyuzi zake zimekuwa za mipasho kuliko hata wanawake wenyewe.... Kumbe ame ji advance. Ndo basi tena. Kuku Bwege.
 
Your browser is not able to display this video.

Aise nilijua ni vita ya juu juu kumbe ipo dipu sana. Watu wa upinde msituharibie wadogo zetu.
 
Hivi mtu kutamani kuwa mwanamke fursa pekee ya muhusika tufikiri anatamani kuingiliwa??

Na mwanamke akisema anawish angekua mwanaume tungesemaje kwa upande wake??

Tume promote uzi within 3 days viewers kuwa 1000+ we are not serious at all. Kuna thread za maana za kutusaidia ku move kimawazo na kifikra wonderful zimekua zikikosa wachangiaji mawazo kuliko nyuzi za kipuuzi kama hizi. Shame.!

For my views, Naona watu wamekua narrow kifikra kupita kiasi.
Huenda muhusika anapenda nafasi za upendeleo ambazo daima watoto na wanawake huzipata. ( Refer Gender Equity and Equality).
Mfano; Katika ajira, ukigongana marks na mwanamke daima atachukuliwa yeye au fursa za mikopo wao ni nyingi kuliko me.
N.k

N.B Kwa upande wangu najivunia kuwa MWANAMUME.
 
mpwayungu village naona umekuja na I'd nyingine
 
Acha blah blah wewe,
 
Nimeona umeogelea msoto tu,sijaona point ukigusia utamu wa kipochi manyoya

basi ungetupumbaza hata kwa kumalizia,Unatuacha wanaume lakini hutousahau

utamu wa kipochi manyoya usioweza linganishwa na chochote chini ya JUA

lakini wewe uko sura mkavuuu as if huna habari na kipochi,daaaah we jamaa wewe

kweli kabisa una wish maisha bila kuchakata,kweliiiiii asee hakika wewe ni Mwanamke nimekubali.
 
Serious kabisa mtu aseme anatamani kuwa mwanamke useme ni jambo la kawaida? Kichwani uko vizuri kweli?.

Mwanaume atamani nafasi za upendeleo halafu uone jambo la kawaida?.
 
Serious kabisa mtu aseme anatamani kuwa mwanamke useme ni jambo la kawaida? Kichwani uko vizuri kweli?.

Mwanaume atamani nafasi za upendeleo halafu uone jambo la kawaida?.
Tumetofautiana, wewe kama hutaki yeye anataka, am sure sio yeye pekee wapo wengi wanaohisi kuna fursa za KIUCHUMI wamezikosa kulingana na jinsi yake for both side.


Kwani kuwa mwanamke ni laana?? Au kuwa mwanaume ni laana??
 
Kuna maisha bila ngono na inawzekana
 
Huku sasa unapotea. Unaweza ukawa umejipatia umaarufu na wafuasi hapa JF Ila visikufanye ukapoteza uwezo wako wa kufikiri.

Manake utakuja kuwaza au kusema hata vile wanawake wanapokatikia naniliu unawaonea donge au unatamani pia.
 
sponsored by Mpwayungu village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…