Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kipindi anaanza sisi tulisema tukaonekana wakorofi. Kuwa huyu jamaa siyo riziki na sasa mnaona anatamani awe mwanamke.... Sirini amefanya mangapi ya kutaka awe mwanamke? Ndo maana siku za karibuni nyuzi zake zimekuwa za mipasho kuliko hata wanawake wenyewe.... Kumbe ame ji advance. Ndo basi tena. Kuku Bwege.Kuku bwege tena aliekosa haya😏😏😏