Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

[emoji23]
Inasikitisha sana, ila kama anataka kulelewa mbona simple ajitafutie dume lake liwe linasukumizia delibolo
Kumbe hamjanielewa, kwanza kabsa shoga ni mwanaume sio mwanamke, rejea mada yangu nini nataka
 
Hujachelewaa sanaa,,,unaweza kuwa kama yule jamaa wa Wasafi alieamua kuwa Jichoo,,kajenga misikiti,ana range anasomesha watoto nk.
Jaribu huko
 
Kwahiyo si tukusaidie nini? Au tukutie madole?[emoji848]
 
Umenena vyema.
 
Ondoa hilo neno SMART weka MLEMAVU WA KUFIKIRIA. Hujachelewa,nenda huko wanako badili jinsia ukaishi huko ili upate mseleleko unaoufikiria wewe. Ni ajabu sana wakati kuna ke wengi sana wanajutia ni kwa nini ili apate haki yake kikatiba mpaka afungue malango ya ikulu halafu kuna kijana wa kiume anatamani hayo mandhira?

Kwa yale ninayoyaona kwa ke wengi akiwemo na mke wangu mara nyingi ni km hawapendi kuondoka kwao kutokana na kuwa tu ni ke,pengine kiutamaduni ingekuwa poa tu basi wangehamisha waume zao na kuwafuata waliko wao,lkn ndo hivyo ni lazima yy ndo atoke kwao aende na kila kilicho chake kwenye familia nyingine.
Hongera mkuu kwa kutamani kulegezwa na kuloa ila wanakuja wawezeshaji ili uwezeshwe.
 
Kwahiyo Mkuu umeanza kuwaonea gere Dada zako nawe ungetamani Uolewe?

Manake si unajua shughuli inavyokuwaga wakati tunatafuta mtoto, ni mwendo wa kupeleka Moto kila siku, hata kama tuna kazi za Ofisi tunahairisha wiki hiyo kuwahi nyumbani ili tutimize lengo. Ni mwendo wa round 3 hadi 5 kwa siku huku tukibadiri mikao tu kuanzia Doggy, Cockloach, Missionary etc

Watch out Dude
 
Unaongea kwenye sex Organi tu hujajua kuwa mwanamke ni internal structure based kuliko external structure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…