Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena


Nimeshangaa sana kukutana na huu uzi wa mwanajamii forum ambaye sikumtegemea na siamini kama yeye ndo kauandika, naomba niendelee kuamini pengine aliacha simu mtu mwingine akaandika na kupost.
 
Dah! Mwenzetu ndo hivo tena amekimbia kambi. Sifa kuu ya mwanaume ni kupambana na kutatua changamoto zinazokukabili, sasa wewe mwanaume unataka usipate changamoto unataka kupakatwa?
Hizo sifa za kijinga huku unaumia sizipendi kabisa, lakini nishazaliwa hakuna namna
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaaaa haya tenaa.
 
HakyaMungu! [emoji2969][emoji2969][emoji2532][emoji2969][emoji2533][emoji2969][emoji2534][emoji2969][emoji2535][emoji2969][emoji2536] Mungu tuhurumie! Haiwezekani mtoto wa kiume kua na mawazo haya!
 
Yaani nyie mnaotaka maisha mserereko ndio maana mnapakatwa. Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja, maisha ni vita.
Acheni upuuzi kutaka vitu vya bure
 

Una viashiria vyote vya ushoga tafuta mshauri nasaha kama kujaanza kuwekwa.
 
Kijana ame umaliza mwendo natoa dk3 za kutoa salamu za mwisho

Sasa Ni rasmi kijana anaelekea kua shabiki kindaki ndaki wa team upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…