Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Wazazi wa Mpwayungu : tunayofuraha kumpata mtoto wa kiume

Mpwayungu mwenyewe Sasa [emoji116]
Jaman ningekua kama huyuView attachment 2564945View attachment 2564945
Mfungo huu shehe!
JamiiForums1103454053.gif
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mental illness
 
Tangu Adamu aipokiuka maelekezo ya Mungu na kukubali kuonja Apple alilopewa na Eva pale Bustanini - Mungu alitupa adhabu wanaume wote na vizazi vyetu kuwa tutakula kwa jasho.

Hivyo haya mateso tunayoyapitia yalisababishwa na mtu mmoja tu, kwa sasa acha tutumikie adhabu bila kupenda.

Wala usitamani kuwa Ke, Nao wanawake wanapitia changamoto zao;
  • Kuzaa kwa uchungu,
  • Kuingia kwenye siku kila mwezi,
  • Wanakosa uhuru wa kutongoza wanaume,
  • Wakifikisha miaka 30 bila kuolewa wanakuwa na sonona na visirani vya kukosa mume
  • Mwanamke hata awe na Elimu gani, Yeye ndio atakaetolewa Mahari na kuchumbiwa. Atakuwa chini ya mwanaume, anaweza kukatazwa asifanye jambo fulani na mumewe.
  • Kwenye mdinyo ndio kabisa atageuzwa geuzwa kama samaki, kama mtoa mada nawe unatamani na kuwaonea wivu kwenye vile vilio na migugumio yao ya kunogewa, Duh!
  • Miili yao ni tofauti na wanaume, asipokuwa msafi wa mwili unaweza kukutana na smell kali utazani panya amefia ndani huko.
  • Mwanamke akitoka kazini, bado ataingia jikoni kukuandalia chakula, ataosha vyombo, atafua nguo etc. Lakini wanaume haya majukumu hatuyawezi kuyafanya
Kuwa mwanamke shughuli yake sio ndogo.
Mkuu, hao wanawake walingaji na madanga ila mwanamke smart hawezi kukosa kuolewa
 
Leo umepuyanga mzee! Pole sana! Tafuta psychologist fasta! Yaani ukishaanza kuwashwa ubongo kwa style hiyo[emoji304] ujue si muda mrefu na mwili utaanza kuwashwa!
Nimesema na narudia tena, sipendi ushoga na bora wauwawe. Kumbuka kuwa mwanamke sio kuwa shoga
 
Mwanaume aliye kamilika kwa 100% anaanzaje kuwaza mawazo ya aina hii!! Kati ya siku uliwahi kuzingua, leo umevunja rekodi.
Mkuu rudia kusoma, nimesema kabla ya Kuja Duniani tuwe tunaulizwa tunapenda kuwa wanawake au wanaume ila tu huu ufahamu ni non existence lakini hii option ingekuwepo ingesaidia
 
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..

Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..

It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.

So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
Strong point I ever expect. Shida wengi wanawaza ngono nasio unafuu wa maisha btn man and woman, namm hapa nimesema kabla ya Kuja Duniani tuwe tunaulizwa ili tuchague kuwa either KE or ME. Sasa wao wanasema ushoga kwani shoga ni mwanamke?
 
Wakati anaponda walimu, kuna mdau alisema mpwa ni shoga, mi nilikataa tena nilipinga kwa ukali ila leo kadhihirisha mwenyew ni mdau wa [emoji304]
 
Back
Top Bottom