Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Mwamba tumeshtua hili ni tangazo unataka wateja waje inbox...indirect announcement [emoji725][emoji2380]
 
Mbona mnawaza ngono tu jamani! Ko mwanamke ni ngono tu hakuna kingine
Ngono ni sehemu ya ushiriki wa uumbaji wa binadamu.
Haihepukiki.
Na mwanamke ni mama maria kwenye uzalishaji... Hivyo ngono ni sehemu ya maisha ya kila siku kwa viumbe. Ngono sio matusi na wala sio fikra potofu. Hata kama utakuwa na kazi nzuri yenye malipo manono na maisha mazuri kuzidi rais na wafalme lazima bado utashiriki kufanya Ngono labda uwe mgonjwa.
Inapokuja kwenye hapo ndio naona bora mara Elfu kuwa mwanaume kuliko niwe K....
Huu ni mtazamo wangu tu kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Nikujibu kichwa cha mada yako kwanza, bila kusoma yaliyomo humo ndani.

Nani kakwambia "sasa hivi haiwezekani wewe kuwa mwanamke"?

Umeleta mada kwa kukurupuka na bila kufanya utafiti wowote juu ya jambo unalolileta mbele za watu walijadili.

Hujawahi kusikia kitu kinaitwa 'Transgender", mwanaume anaamua awe mwanamke, au mwanamke awe mwanaume?

Sasa utakuja hapa na ubishi, kana kwamba unajua yote haya, kumbe hujui kitu!
 
body posture ataelekeza Kwa mwanamke
Hii Ni nature yaani iko ivyo yaani imeumbwa ivyo you can't change it may you've to change your mind about it. Kuna siku nimevuka kivuko Cha busisi usiku saa Saba to saa nane usiku natokea kigoma huko Kuja mwanza. Sasa bana tulisafiri na ke fulani hivi matakio kule ,wakati tupo kivukoni akadai nacheki hapa niombe lifti,namie nikampa moyo kwa jinsi ulivyo huwezi kosa. Ile kivuko kimetua nanga mie huyo nikatembea kufika kucheki huku Hakuna hiace,boda Bei ghali nikasema Bora nirudi nikeshe sehemu ya abiria aama nishinde na walinzi kukuche nisepe.

Sasa akaja mshkaji akaniambia Yule demu akapewa lift gari imebeba Kama watu 8 Ila kisababishi Ni demu namie sikutaka kupitia mgongo wake hata awali aliposema ivyo.

Nilimjibu ngoja nipambane na Hali yangu, Mara Lori likapita tukapiga mkono likasimama tukapanda wanaume Kama watatu,likatusogea karibia na nyamhongolo tunapata bajaji mpaka igoma.
Mie sikuumia niliona Ni kawaida inatakiwa nipigane niwe na usafiri wangu.

Hivi umeshawahi ona wapi jogoo anampatia mahindi jogoo mwenzake kweli yaani Ni nature Ni sawa na sumaku kuvuta chuma ubao why ulalamike kuwa mbona mie sivutwi?
You aren't a real man I can swear it 100%. Yaani kuumbwa wa kiume sio kuwa wewe Ni real man the hustler like Che guavara the hustler victoria siempre.
A real man like cheguavara,Fidel Castro,Nelson Mandela ,Muamar Gadafi,sokoine,Thomas Sankara etc who were ready to die.

Sidhani hata www unaweza shika smg unapigana kutetea Kijiji chenye yaani mama,dada,wake,bintizo watabakwa na wewe umejificha sehemu unaogopa na Mali za kijiji chenu zitachukuliwa
 
Will-the-Novel-Coronavirus-Replace-Humans-with-Robots-at-Work.jpg
 
Dah!

Nimekusoma mkuu 'Keisangora'.

Huu uandishi wako ni wa aina yake, lakini nimekuelewa.
 
Duuh
 
The successful women I know in my circle ni hustlers, whether kwa kisomo au biashara, they got a long history nawaona tangu zamani.

Sijawahi kuwaza they're successful coz they're women! If anything ni majukumu ya ndoa zao na familia zao ndo zinawarudisha nyuma!

We Sema una roho ya umarioo vivulana siku hizi vivivu havitaki kuchoka wala kutokwa jasho, vinataka vishibe vizunguke na kiti kwenye kwenye AC vimiliki kila kitu watupostie mitandaoni mwishowe vinakuwa vishoga kwasababu ya tamaa.

Kama ulikuwa unasajili line wasichana wakawa wanapata wateja kuliko nyie si mngehama eneo! Ukaona wanafaidi attention ya wanaume ukatamani hiyo attention?

Kuna rijali anamuonea mwanamke wivu kupata attention ya wanaume?????
 
I get your point and that's why Feminism was supposed kupunguza iyo burden kwa wanaume kila kitu wao but kinachonikera ni unafki wa many women who earn their money but bado kila kitu wafanyiwe na wanaume. Wanaume mkatae huu ufala 100% it's ok kusaidiana kw shida and iwe vice versa Km she feels entitled kila kitu Achana naye kuwa mkali. Hii tabia inawaharibia savings many men kulea limtu limekaa tu kheri kahaba kabisa anayejiuza u know u pay u JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala kuliko such women waliolelewa kw privilege, maisha mazuri, wamesoma Shule expensive wanalipwa vzuri bado yanataka yahudumiwe kila kitu; for such stupid women wasipopelekwa shule utakosea au kuwanyima urithi coz yanategemea wanaume tu? Siyapendi haya mawanawake kwa kweli na midume zoba inayowadekeza. Trade for Trade. Men kataeni huu uhuni.
Hapa umeongea usichoelewa. Mwanaume wakati hana kitu mwanamke anamfanyia yote. Hadi mtaji anampa akifanikiwa anamuacha ili akaishi na mwanamke ambaye atakuwa atakuwa yy(mwanaume) anampa kila kitu na ndio anajiona kidume.

So relax pambaneni na ma inferiority complex yenu
 
Back
Top Bottom