mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 504
- 1,071
Man down... I repeat man down..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You don't have to do some poutings;Say it!And,say it loudly;Do you want to be a super girl when you grow up?😂😂😂😂[emoji57][emoji57][emoji57]
Ngono ni sehemu ya ushiriki wa uumbaji wa binadamu.Mbona mnawaza ngono tu jamani! Ko mwanamke ni ngono tu hakuna kingine
Nikujibu kichwa cha mada yako kwanza, bila kusoma yaliyomo humo ndani.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Hii Ni nature yaani iko ivyo yaani imeumbwa ivyo you can't change it may you've to change your mind about it. Kuna siku nimevuka kivuko Cha busisi usiku saa Saba to saa nane usiku natokea kigoma huko Kuja mwanza. Sasa bana tulisafiri na ke fulani hivi matakio kule ,wakati tupo kivukoni akadai nacheki hapa niombe lifti,namie nikampa moyo kwa jinsi ulivyo huwezi kosa. Ile kivuko kimetua nanga mie huyo nikatembea kufika kucheki huku Hakuna hiace,boda Bei ghali nikasema Bora nirudi nikeshe sehemu ya abiria aama nishinde na walinzi kukuche nisepe.body posture ataelekeza Kwa mwanamke
Wewe wa kwanza na wengine mtakao jitokezaYapi hayo
Dah!Hii Ni nature yaani iko ivyo yaani imeumbwa ivyo you can't change it may you've to change your mind about it. Kuna siku nimevuka kivuko Cha busisi usiku saa Saba to saa nane usiku natokea kigoma huko Kuja mwanza. Sasa bana tulisafiri na ke fulani hivi matakio kule ,wakati tupo kivukoni akadai nacheki hapa niombe lifti,namie nikampa moyo kwa jinsi ulivyo huwezi kosa. Ile kivuko kimetua nanga mie huyo nikatembea kufika kucheki huku Hakuna hiace,boda Bei ghali nikasema Bora nirudi nikeshe sehemu ya abiria aama nishinde na walinzi kukuche nisepe.
Sasa akaja mshkaji akaniambia Yule demu akapewa lift gari imebeba Kama watu 8 Ila kisababishi Ni demu namie sikutaka kupitia mgongo wake hata awali aliposema ivyo.
Nilimjibu ngoja nipambane na Hali yangu, Mara Lori likapita tukapiga mkono likasimama tukapanda wanaume Kama watatu,likatusogea karibia na nyamhongolo tunapata bajaji mpaka igoma.
Mie sikuumia niliona Ni kawaida inatakiwa nipigane niwe na usafiri wangu.
Hivi umeshawahi ona wapi jogoo anampatia mahindi jogoo mwenzake kweli yaani Ni nature Ni sawa na sumaku kuvuta chuma ubao why ulalamike kuwa mbona mie sivutwi?
You aren't a real man I can swear it 100%. Yaani kuumbwa wa kiume sio kuwa wewe Ni real man the hustler like Che guavara the hustler victoria siempre.
A real man like cheguavara,Fidel Castro,Nelson Mandela ,Muamar Gadafi,sokoine,Thomas Sankara etc who were ready to die.
Sidhani hata www unaweza shika smg unapigana kutetea Kijiji chenye yaani mama,dada,wake,bintizo watabakwa na wewe umejificha sehemu unaogopa na Mali za kijiji chenu zitachukuliwa
DuuhHii Ni nature yaani iko ivyo yaani imeumbwa ivyo you can't change it may you've to change your mind about it. Kuna siku nimevuka kivuko Cha busisi usiku saa Saba to saa nane usiku natokea kigoma huko Kuja mwanza. Sasa bana tulisafiri na ke fulani hivi matakio kule ,wakati tupo kivukoni akadai nacheki hapa niombe lifti,namie nikampa moyo kwa jinsi ulivyo huwezi kosa. Ile kivuko kimetua nanga mie huyo nikatembea kufika kucheki huku Hakuna hiace,boda Bei ghali nikasema Bora nirudi nikeshe sehemu ya abiria aama nishinde na walinzi kukuche nisepe.
Sasa akaja mshkaji akaniambia Yule demu akapewa lift gari imebeba Kama watu 8 Ila kisababishi Ni demu namie sikutaka kupitia mgongo wake hata awali aliposema ivyo.
Nilimjibu ngoja nipambane na Hali yangu, Mara Lori likapita tukapiga mkono likasimama tukapanda wanaume Kama watatu,likatusogea karibia na nyamhongolo tunapata bajaji mpaka igoma.
Mie sikuumia niliona Ni kawaida inatakiwa nipigane niwe na usafiri wangu.
Hivi umeshawahi ona wapi jogoo anampatia mahindi jogoo mwenzake kweli yaani Ni nature Ni sawa na sumaku kuvuta chuma ubao why ulalamike kuwa mbona mie sivutwi?
You aren't a real man I can swear it 100%. Yaani kuumbwa wa kiume sio kuwa wewe Ni real man the hustler like Che guavara the hustler victoria siempre.
A real man like cheguavara,Fidel Castro,Nelson Mandela ,Muamar Gadafi,sokoine,Thomas Sankara etc who were ready to die.
Sidhani hata www unaweza shika smg unapigana kutetea Kijiji chenye yaani mama,dada,wake,bintizo watabakwa na wewe umejificha sehemu unaogopa na Mali za kijiji chenu zitachukuliwa
I need a backup MIXOLOGIST do you copy?One man down, over, one man down, i repeat
Hapa umeongea usichoelewa. Mwanaume wakati hana kitu mwanamke anamfanyia yote. Hadi mtaji anampa akifanikiwa anamuacha ili akaishi na mwanamke ambaye atakuwa atakuwa yy(mwanaume) anampa kila kitu na ndio anajiona kidume.I get your point and that's why Feminism was supposed kupunguza iyo burden kwa wanaume kila kitu wao but kinachonikera ni unafki wa many women who earn their money but bado kila kitu wafanyiwe na wanaume. Wanaume mkatae huu ufala 100% it's ok kusaidiana kw shida and iwe vice versa Km she feels entitled kila kitu Achana naye kuwa mkali. Hii tabia inawaharibia savings many men kulea limtu limekaa tu kheri kahaba kabisa anayejiuza u know u pay u JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala kuliko such women waliolelewa kw privilege, maisha mazuri, wamesoma Shule expensive wanalipwa vzuri bado yanataka yahudumiwe kila kitu; for such stupid women wasipopelekwa shule utakosea au kuwanyima urithi coz yanategemea wanaume tu? Siyapendi haya mawanawake kwa kweli na midume zoba inayowadekeza. Trade for Trade. Men kataeni huu uhuni.
Wewe ni shogaUmefika mbali sana, in my topic I have not expressed about LGBTIQ