Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #841
Nishaachana nao mkuu, hata siamini kama hii ndo Tanzania yanguMuanzisha uzi anatoa hoja za kiuchumi, wanaojibu wote wako kwenye ngono. Tz ngumu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaachana nao mkuu, hata siamini kama hii ndo Tanzania yanguMuanzisha uzi anatoa hoja za kiuchumi, wanaojibu wote wako kwenye ngono. Tz ngumu sana!
ASHA Olewa huyoNani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Mimi nimesema pia Mungu atupe ufahamu wa kuona yanayoendelea duniani kabla ya sisi hatujaja duniani, ili atupe option ya kuwa mke au mmeKuna jamaa m'moja alikuwa na mawazo ya kipopoma kama yako akawa anamlaumu sana MUNGU na na kuonyesha majuto ya kuwa mwanaume katika maisha yake. Akalalamika kuwa mkewe ni House wife tu na hakuna la maana anafanya zaidi ya kupika na kukaa na watoto tu nyumbani.
Siku moja MUNGU akasikia maombi yake. Alipolala akaamka akiwa mke na mkewe akawa mume. Yaani wakabadilishana jinsia.
Jamaa alipoamka akastaajabu sana lakini akaona alichokitaka ndio kimetimia so hakuwa na namna ila kukubaliana na hali.
So picha linaanza akaanza majukumu ya mke. Akaanza kuamka alfajiri sana kuandaa watoto kwaajiri ya shule na baadae kumuandalia mumewe kwaajiri ya kazini. Then akatakiwa kuanza purukushani za sokoni baada ya familia kuondoka.
Akatakiwa kuanza kukimbizana na ratiba za usafi wa ndani na jikoni, kufua nguo,kusafisha mazingira na kadhalika, manunuzi ya sokoni ni kuandaa chakula cha mchana kwaajiri ya watoto wakirejea toka shule plus cha jioni kwajiri ya familia nzima.
Na bado alipomaliza yote hayo mumewe akawa anataka mzigo. Na MUNGU ili kumuonyesha akampatia nguvu na tamaa kali sana huyu mwanaume akawa anataka gemu kila siku asubuhi na usiku tena round zaidi ya moja.
Baada ya siku kadhaa, akaanza sasa kuona kero kuwa mwanamke na kutamani kurudi hali yake ya kuwa mwanaume. Akamrejea MUNGU kwa sala na maombi akikiri kuwa kuwa mke ni jukumu zito sana ila linataka mtu kukubali kuwa mwanamke ndipo uliweze.
Jamaa aliomba sana bila kukata tamaa na alilia sana usiku na mchana akiomba kurejeshwa kwenye mwili wake kama awali.
Siku moja, malaika akamtokea katika ndoto na kumwambia, kazi ya MUNGU bado haijaisha kuna jambo bado haujapitia kama mwanamke, jamaa akaamka asubuhi akiwa anajisikia hovyo sana na kutapika sana. Hakuweza kufanya kazi yoyote siku hiyo hadi jioni mume wake aliporejea na kumkuta hivyo wakaenda hospital. Walipofika vipimo vikaonyesha ana ujauzito wa wiki kadhaa. Mumewe alifurahi sana. Jamaa akawa anawazia sasa itakuwaje swala la kubeba mimba hadi kujifungua. Story ikaishia hapo so jamaa anatakiwa kujifungua kwanza ndipo arejee kuwa mwanaume tena kama awali.
So story yetu inatufunza kuwa MUNGU ana kusudio lake kukuumba namna fulani. Kama amekuumba katika hali ya ufukara hebu jaribu kuridhia kuishi huko huku ukitafuta namna za kutoka kwa kumuomba yeye ila usianze kulaani na kulaumu kwann wewe uzaliwe mazingira hayo.
Sasa mleta uzi naona wewe unamlaumu MUNGU kwann amekuumba katika jinsia ya uanaume na unahisi alikosea kukuleta katika hiyo hali. Hilo ni kosa kubwa sana kwa binadamu kufanya.
Inawezekana kuna mambo mengi wewe kama mwanaume haujayafanya ambayo yatakufanya ufurahie maisha. Kuna fursa ambazo sisi wanaume tunazo ambazo wanawake hawawezi kuzisogelea. Kuna kazi mwanamke hata awezeshwe katu hawezi fanya.
Focus ya mwanamke katika kazi na biashara ni ya muda mfupi sana ndio maana hata biashara zao zikianza kuchanganya utaona wanaanza kuloose focus ya kumanage unless apate back ya kiume kusimamia.
So kuna advantages nyingi sana za kuwa mwanaume umezioverlook sababu unataka kupewa, kusaidiwa, kushikwa mkono, kubebwa, na kuwezeshwa kama mwanamke.
Nchi zetu za ajabu sanaUsilaumu jinsia laumu serikali kwa kutoweks mifumo sahihi ya haki sawa mwanamke afrika anapendelewa tofaut na nchi zilizo endelea kule hakuna rushwa ya ngono kila mtu anapata kutokana na uwezo wake
Mumeegamia kwenye ufuska tuHata kutoa comments nimeshindwa, yaani unatamani unhelikuwa demu upigwe mpochongo?
Muanzisha uzi anatoa hoja za kiuchumi, wanaojibu wote wako kwenye ngono. Tz ngumu sana!
hiyo ni cover tu, hormone zimeshamgeuka huyu anahitaji uangalizi wa karibuNishaachana nao mkuu, hata siamini kama hii ndo Tanzania yangu
Mwalimu ni mzazi, laana hiyo imeanza kumtafuna.Kupatwa kwa Mpwayungu Village mchukia walimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
View attachment 2565998
Kwahiyo majukumu ya mwanamke ni ngono tu sindioKwa jinsi unavochukia walim ss nishajua nn sababu kumbe akili hazipo sw na huwa unataman kupelekewa moto kikawaida n ngumu mtt wa kiume kutaman kuwa mwanamke kozi kupelekewa moto si mchezo leo hii we ndo unataman hii hatari alichozungumza makamo wa rais ss naamin
Hhhahaha ndomnavyodanganyana. Binadamu hawez kumpa laana binadamu mwenzake hata awe mama ako labda awe Msafi amakamilika asilimia miaMwalimu ni mzazi, laana hiyo imeanza kumtafuna.
Sasa huyu sio mwanamke ni shoga huyuKupatwa kwa Mpwayungu Village mchukia walimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
View attachment 2565998
Hadi kuandika kumeanza kukushinda masikini!!Hhhahaha ndomnavyodanganyana. Binadamu hawez kumpa laana binadamu mwenzake hata awe mama ako labda awe Msafi amakamilika asilimia mia
Mermer akoPunga zeze