Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kuna jamaa m'moja alikuwa na mawazo ya kipopoma kama yako akawa anamlaumu sana MUNGU na na kuonyesha majuto ya kuwa mwanaume katika maisha yake. Akalalamika kuwa mkewe ni House wife tu na hakuna la maana anafanya zaidi ya kupika na kukaa na watoto tu nyumbani.

Siku moja MUNGU akasikia maombi yake. Alipolala akaamka akiwa mke na mkewe akawa mume. Yaani wakabadilishana jinsia.

Jamaa alipoamka akastaajabu sana lakini akaona alichokitaka ndio kimetimia so hakuwa na namna ila kukubaliana na hali.

So picha linaanza akaanza majukumu ya mke. Akaanza kuamka alfajiri sana kuandaa watoto kwaajiri ya shule na baadae kumuandalia mumewe kwaajiri ya kazini. Then akatakiwa kuanza purukushani za sokoni baada ya familia kuondoka.

Akatakiwa kuanza kukimbizana na ratiba za usafi wa ndani na jikoni, kufua nguo,kusafisha mazingira na kadhalika, manunuzi ya sokoni ni kuandaa chakula cha mchana kwaajiri ya watoto wakirejea toka shule plus cha jioni kwajiri ya familia nzima.

Na bado alipomaliza yote hayo mumewe akawa anataka mzigo. Na MUNGU ili kumuonyesha akampatia nguvu na tamaa kali sana huyu mwanaume akawa anataka gemu kila siku asubuhi na usiku tena round zaidi ya moja.

Baada ya siku kadhaa, akaanza sasa kuona kero kuwa mwanamke na kutamani kurudi hali yake ya kuwa mwanaume. Akamrejea MUNGU kwa sala na maombi akikiri kuwa kuwa mke ni jukumu zito sana ila linataka mtu kukubali kuwa mwanamke ndipo uliweze.

Jamaa aliomba sana bila kukata tamaa na alilia sana usiku na mchana akiomba kurejeshwa kwenye mwili wake kama awali.

Siku moja, malaika akamtokea katika ndoto na kumwambia, kazi ya MUNGU bado haijaisha kuna jambo bado haujapitia kama mwanamke, jamaa akaamka asubuhi akiwa anajisikia hovyo sana na kutapika sana. Hakuweza kufanya kazi yoyote siku hiyo hadi jioni mume wake aliporejea na kumkuta hivyo wakaenda hospital. Walipofika vipimo vikaonyesha ana ujauzito wa wiki kadhaa. Mumewe alifurahi sana. Jamaa akawa anawazia sasa itakuwaje swala la kubeba mimba hadi kujifungua. Story ikaishia hapo so jamaa anatakiwa kujifungua kwanza ndipo arejee kuwa mwanaume tena kama awali.

So story yetu inatufunza kuwa MUNGU ana kusudio lake kukuumba namna fulani. Kama amekuumba katika hali ya ufukara hebu jaribu kuridhia kuishi huko huku ukitafuta namna za kutoka kwa kumuomba yeye ila usianze kulaani na kulaumu kwann wewe uzaliwe mazingira hayo.

Sasa mleta uzi naona wewe unamlaumu MUNGU kwann amekuumba katika jinsia ya uanaume na unahisi alikosea kukuleta katika hiyo hali. Hilo ni kosa kubwa sana kwa binadamu kufanya.

Inawezekana kuna mambo mengi wewe kama mwanaume haujayafanya ambayo yatakufanya ufurahie maisha. Kuna fursa ambazo sisi wanaume tunazo ambazo wanawake hawawezi kuzisogelea. Kuna kazi mwanamke hata awezeshwe katu hawezi fanya.

Focus ya mwanamke katika kazi na biashara ni ya muda mfupi sana ndio maana hata biashara zao zikianza kuchanganya utaona wanaanza kuloose focus ya kumanage unless apate back ya kiume kusimamia.

So kuna advantages nyingi sana za kuwa mwanaume umezioverlook sababu unataka kupewa, kusaidiwa, kushikwa mkono, kubebwa, na kuwezeshwa kama mwanamke.
Mimi nimesema pia Mungu atupe ufahamu wa kuona yanayoendelea duniani kabla ya sisi hatujaja duniani, ili atupe option ya kuwa mke au mme
 
Usilaumu jinsia laumu serikali kwa kutoweks mifumo sahihi ya haki sawa mwanamke afrika anapendelewa tofaut na nchi zilizo endelea kule hakuna rushwa ya ngono kila mtu anapata kutokana na uwezo wake
Nchi zetu za ajabu sana
 
umetukosea sana wanaume la muhimu usijute hata kidogo mwanaume unatakiwa kuwa mpambanaji kwenye hii Tanzania yetu fursa kibao ila ni vile wanaume wengi hatutaki kujituma na kupambana hivi Kila mwanaume akijutia kama wewe Dunia si itawaka moto
 
Nyie mnaotetea hoja ya mtoa mada kuna nati zimelegea sio bure, sasa utatamanije kuwa mwanamke usiliwe?.

Halafu amesema kabisa anatamani kuwa mwanamke ili apate mserereko wa maendeleo, hapa duniani kati ya mwanamke na mwanamme nani mwenye chance kubwa ya kufanikiwa? Kwangu Mimi naona mwanaume ananafasi kubwa ya kufanikiwa kuliko mwanamke na hilo linadhihilishwa na tunachokiona kwenye jamii zetu.

Sasa kwanini mtoa mada atamani nafasi za upendeleo wanazopewa wanawake?. Inamaanisha mapambano ya kiume ameshindwa.
Muanzisha uzi anatoa hoja za kiuchumi, wanaojibu wote wako kwenye ngono. Tz ngumu sana!
 
Mkuu bora kuzaliwa mwanaume... Hakuna mwanamke anaependa kuwa mwanamke na kukojolewa ndani ,.. ni vile tuu hawana namna wanakubali tuu ili waweze kuishi...imagin unawekwa dogstyle huku unapigwa kofi la m^tak¢
 
Kupatwa kwa Mpwayungu Village mchukia walimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]

929888697.jpg
 
Kwa jinsi unavochukia walim ss nishajua nn sababu kumbe akili hazipo sw na huwa unataman kupelekewa moto kikawaida n ngumu mtt wa kiume kutaman kuwa mwanamke kozi kupelekewa moto si mchezo leo hii we ndo unataman hii hatari alichozungumza makamo wa rais ss naamin
 
Kwa jinsi unavochukia walim ss nishajua nn sababu kumbe akili hazipo sw na huwa unataman kupelekewa moto kikawaida n ngumu mtt wa kiume kutaman kuwa mwanamke kozi kupelekewa moto si mchezo leo hii we ndo unataman hii hatari alichozungumza makamo wa rais ss naamin
Kwahiyo majukumu ya mwanamke ni ngono tu sindio
 
Back
Top Bottom