Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nilimtii, sikumsumbua hata kidogo ila sikumsikiliza na nilimuogopa kuliko kumuheshimu.
Kama baba typical wa kanda ya ziwa ushajua nyumbani ni mwendo wa kwata. Ila alikuwa ananiandaa.
Nilijua ana agenda ya chuki dhidi ya mama, sikujua saikolojia ya mwanamke inamfanya mwanaume anakuwa paranoid, nilichojua ni kumuhurumia mama na kumuwekea roho ngumu baba kwa maana nilihisi baba ametuweka upande wa mwisho wa upendo wake.
Maamuzi ya maisha yangu hayakutaka direction ya baba, kila hatua ya maisha yangu ilikuwa ni ya kushindana na baba yangu, lakini nilifeli hadi hapo nilipoamua kumuenzi baba yangu then maisha yangu ndipo yalipoanza kubadirika.
But now i understand dad, kwanini you are successful, kwanini ulikuwa na style ile ya maisha, kwa nini ulifanya maamuzi fulani.
MORE LIFE MY OLD MAN.
Mwana JF mpende mama yako ila muenzi baba yako.
View: https://youtube.com/shorts/wkEj72oq6U8?si=JbqUPFD_9QOmcpdN