Najuta kwanini niliuza gari yangu


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana..

aisee nimecheka saaanaaa
😂😂😂😂😂
 
Pepo la kuuza vitu ni baya sana, kuna siku utatamani uuze hata mkeo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka enzi hizo niliuza radio yangu sony ya cd moja kwa 120,000 lengo ninunue sony cd 3 ilikua nafikiri 350,000 jamaa yupo bar kanipigia simu nikachukuwe hela yangu nikasema poa nikachukuwa ballance nyingine ili akinipa hiyo 120 niunge posta nikachukuwe mzigo kilichotokea hapo niliipiga kiberiti karibia yote nikajikuta na 80,000 nilikuwa naogopa hata kuangalia mfukoni kiasi kilichobaki.
 
Hahah washkaji wananunua passo/starlet/march/sio kwa kupenda ni ili kuondokana na adha tu ya usafiri hapa jijini maana kushika bomba daily si mchezo,though anajua atakua anapondwa/kuchekwa lkn potelea mbali hahah.
Passo Starlet March ni Bora zaidi kuliko sie tusie hata na baiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua guta
 
Huu uzi niliumis sana...mkuu hebu tusaidie..umefanikiwa kununua walau vigz namba B..?
Pole sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…