Najuta kwanini niliuza gari yangu

Najuta kwanini niliuza gari yangu

Jamaa so Mark X ikakuzuzua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] sasa kaa stendi hadi ushangae na gari mpyaaa ipo home. Unatumia wikiend mitaa ya home tu kwenda kanisani na pub ya karibu. Unaendesha kila dk chache macho yapo kwenye dashboard unaangalia mshale wa mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..basi ukitafakari hii hali + joto+jumlisha mvua+kuchelewa kazini.....hapo mwanaume mwenye passo, vitz, starlet, march and the like unamuona kama ni mfalme.View attachment 1044583
FB_IMG_1552464105748.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana..

aisee nimecheka saaanaaa
😂😂😂😂😂
 
Pepo la kuuza vitu ni baya sana, kuna siku utatamani uuze hata mkeo
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana...

Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X ,,Aliku nayo rafiki angu,, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST alafu yeye MARK X,,, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X

Kilicho tokea nikafanikisaha kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo
Mpaka sasa sijafanikiwa kununua iyo MARK X niliyo itamani na sijui nitainunua lini,, pesa yenyewe naona giza, Kwani nimeitafuna

Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapo jiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayo kuja imejaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka enzi hizo niliuza radio yangu sony ya cd moja kwa 120,000 lengo ninunue sony cd 3 ilikua nafikiri 350,000 jamaa yupo bar kanipigia simu nikachukuwe hela yangu nikasema poa nikachukuwa ballance nyingine ili akinipa hiyo 120 niunge posta nikachukuwe mzigo kilichotokea hapo niliipiga kiberiti karibia yote nikajikuta na 80,000 nilikuwa naogopa hata kuangalia mfukoni kiasi kilichobaki.
 
Hahah washkaji wananunua passo/starlet/march/sio kwa kupenda ni ili kuondokana na adha tu ya usafiri hapa jijini maana kushika bomba daily si mchezo,though anajua atakua anapondwa/kuchekwa lkn potelea mbali hahah.
Passo Starlet March ni Bora zaidi kuliko sie tusie hata na baiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah sa utajuaje kama mjomba 'ametusua' kimaisha hahah.

Huyo jamaa anakwambia cresta ndio 'benz' ya mjapan kuna kipindi alitoka nayo dar-kenya-uganda-kigali akarudi nayo mpk dar tena,alivyofika akasema chalii angu ama kweli baada ya Mungu ni mjapan si kwa utamu wa gari hii,nilicheka sana aiseee na sitamsahau 'mnama' kwa sentensi hio,hahah.
Jf raha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana.

Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X ,,Aliku nayo rafiki angu,, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST alafu yeye MARK X, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X

Kilicho tokea nikafanikisaha kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo
Mpaka sasa sijafanikiwa kununua iyo MARK X niliyo itamani na sijui nitainunua lini,, pesa yenyewe naona giza, Kwani nimeitafuna

Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapo jiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayo kuja imejaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua guta
 
Huu uzi niliumis sana...mkuu hebu tusaidie..umefanikiwa kununua walau vigz namba B..?
Pole sana..
 
Back
Top Bottom