Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Ungekuwa umenunua ungekuja kuomba pesa ya mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa umenunua ungekuja kuomba pesa ya mafuta
Hahhahha aiseeKaribu ofisini kwetu mkuu tukukopeshe gari bila dhamana yoyote. Kulipa ni ndani ya masaa 12.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ....dahNilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana...
Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X ,,Aliku nayo rafiki angu,, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST alafu yeye MARK X,,, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X
Kilicho tokea nikafanikisaha kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo
Mpaka sasa sijafanikiwa kununua iyo MARK X niliyo itamani na sijui nitainunua lini,, pesa yenyewe naona giza, Kwani nimeitafuna
Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapo jiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayo kuja imejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Corolla hapo una gari au kamkebe ka kukukinga na jua/mvua,Tatizo wabongo tunapenda sifa sana, Mark X hapa mjini unafanyia nini? ENgine kubwa, matumizi ya mafuta makubwa, bei yake kubwa. Unaponunua gari cha kwanza jiulize kwa nini unanunua gari, au hii gari itanisaidia kwa shughuli zipi? 1. Movement kwenda ofisini na mishe za hapa town gari IST ilitosha kabisa. 2. Kama una shughuli kubwa kubwa za pori pori kidogo kama shamba tafuta gari kubwa lenye 4WD.
Pole sana sifa zimekuponza. Mimi nitafia na corolla yangu cc 1500
Na kwenye ajali.mnasepa wote[emoji22][emoji22]Nataka hivyo,..ukoo mzima tutoke pamoja,.
Hebu mpare aiseme hii methali kipare....Ukitaka kuruka agana na nyonga
Kama ilipangwa na Mungu kuondoka wote mtaondoka tuu wote sio lazima kwa ajali...
Duuu sasa huwa unfanyaje kama kitu chako huuziMimi huwa sina utaratibu wa kuuza kitu changu hata kama nahitaji kingine ntapaki hapo ninunue kikingine ila siuzi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Corolla hapo una gari au kamkebe ka kukukinga na jua/mvua,
Baba nafuu huja nunua hiyo mark × maana ungenunua pia ungekuja kuandika Uzi mwingine
Kweliiiii kabisa. Hii ndio maana yangu. Hapo kuna tofauti ya 1000CcMark X ina cc 2500. IST aliyoiuza ina cc 1490. Hilo wese kwa level yake asingeweza