TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Mentally ya kishamba tu hiyo....hakuna chochoteKikwetu kwetu tunaamini kuuza vitu vyako ulivyotoka navyo mbali ni kukaribisha umaskini bora hata ugawe kuliko kuuza(though kugawa gari ni next to impossible),ingawa sina uhakika kuhusiana na hii dhana lkn naamini kuna ukweli kwny hili.
Mfano una Noah old model unauza M8-9 then unaongezea M20 inakua 28-29 unaingia show room unachukua TAKO LA NYANI apo utakua umeongeza umasikini au?