Najuta kwanini niliuza gari yangu

Kikwetu kwetu tunaamini kuuza vitu vyako ulivyotoka navyo mbali ni kukaribisha umaskini bora hata ugawe kuliko kuuza(though kugawa gari ni next to impossible),ingawa sina uhakika kuhusiana na hii dhana lkn naamini kuna ukweli kwny hili.
Mentally ya kishamba tu hiyo....hakuna chochote

Mfano una Noah old model unauza M8-9 then unaongezea M20 inakua 28-29 unaingia show room unachukua TAKO LA NYANI apo utakua umeongeza umasikini au?
 
Jamaa anajuta kweli, sio siri na ule msoto wa usafiri wa jiji la Makonda. Kama ulizoea gari ghafla ukawa huna runaweza kupata uchungu kuliko ule wa msiba.
Usiombe ....uzoee gari mara ghafla huna?[emoji44] Unaweza ugua ugonjwa ambao hata haujulikani!

At least ujue umeagiza linakuja, unapata moyo ukiwa juani, but gari umeuza na hela ya kununua huna[emoji17][emoji17]..mmmh!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Halafu unawangalia wenye magari kwa jicho baya sana na hii ni automatic.
 
Ni msiba yani, ukikumbuka maisha ya kuchungulia wauza korosho na daimond karanga juani kupitia vioo vyako huku ukila mziki laini ndani full mufindi! Ha ha lazma usage meno!
 
Kikwetu kwetu tunaamini kuuza vitu vyako ulivyotoka navyo mbali ni kukaribisha umaskini bora hata ugawe kuliko kuuza(though kugawa gari ni next to impossible),ingawa sina uhakika kuhusiana na hii dhana lkn naamini kuna ukweli kwny hili.
Ni ukweli mtupu...kuuza kitu chako ni mkosi mkuu

Refer mlevi, walevi wanapenda sana kuuza vitu vya ndani ili wakalewe, ulishawahi ona wanareplace?

Dada angu ni aliuza gari ili alipie ada za watoto, akasema atanunua lingine[emoji44][emoji44]...mpaka leo mwaka wa nane full kuungua na jua, na mvua hamna cha gari wala nini, anaumia huyo mpaka analia!
( na anafanya kazi nzuri tu

So ni mkosi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwetu kwetu tunaamini kuuza vitu vyako ulivyotoka navyo mbali ni kukaribisha umaskini bora hata ugawe kuliko kuuza(though kugawa gari ni next to impossible),ingawa sina uhakika kuhusiana na hii dhana lkn naamini kuna ukweli kwny hili.

Wengi hawapendi kuuza vitu walivyotoka mbali just to preserve their good memories... walivyosota na kadhalika. hakuna uhusiano wowote wa kuuza hivyo vitu na umasikini.
Lakini kama unavyojua na imani zetu za kiswahili... usitoe chenji asubuhi, usimruke mtu, kuwasha kwa kiganja cha mkono, jicho kuchezacheza, kujikwaa mguu wa kushoto na mengine mengi.
 
Ha ha ha ..halafu wenye vibaby Walker wengi wana vitambi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mhhhh Mbona wewe uliuza na ukaenda leta vipya tena vya UK? au wewe ni miongoni mwa wale wachache?
 
Hahahah jamaa anainjoy sana lakini thats life mzee. Tuheshimu ni achievement yake and as long as he's having fun no problems mzee. Kila mtu na apendacho bwana mnama...ha ha! Siku akihamia kwenye Mark X ndio anaweza kwenda nayo hata Nigeria!
Hahah daah hapo kwny kwenda nigeria nimecheka sana aseee,dream car ya msela ni benz S 500 kuanzia ya mwaka 2006 ila anasema itabaki kua dream tu maana hela ya kuhudumia hio gari anaweza kujenga room zake 2 au 3 akawa anakula kodi tu hapa mjini.
 
Hii tabia ninaichukia...halafu mafunguo yenyewe bora yangekuwa na chata la magari adimu....mtu kachomekea vizuri amependeza eti mbele kaning'iniza liufunguo limepaukaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app

wanaume wananign'niza wanawake wanashika mkononi tena wanaweka key holder zinazoreflect mwanga. na hatulii mkaoni mara ataenda kuchukua pochi, taenda tena kutoa magazetri kuweka siti ya nyuma. hata kama ana handbag kubwa kama rambo still funguo ataziweka juu ya meza yaani full show off hadi kinyaaa...
 
Mbona wanawake [emoji1787][emoji23] [emoji23][emoji1787]...kwenda hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…