Najuta kwanini niliuza gari yangu

20% - TAMAA MBAYA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...jamaa kaongea kwa hisia kali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah afu hao wa corolla kwa kutoa lift barabarani wako vzr sana hata kama hakujui,ukipanda tu utasikia hii gari usiione hivi ina roho ya paka,anaendelea kukukwambia hapa tukiweka mafuta ya buku 5 yanatufisha mbali saaaana,hahah
 
Ok nimekumbuka vizuri tu jamaa yetu toka nauze Ki nadia chake anaishia kufanya shoping kwenye mitandao hadi huruma 😱
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Umeona kuuza ulivyo mkosi sasa? Kauza Nadia sijui ile pesa aliipeleka wapi asee[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848]

Full kuzurura show room, while hana hata senti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mentally ya kishamba tu hiyo....hakuna chochote

Mfano una Noah old model unauza M8-9 then unaongezea M20 inakua 28-29 unaingia show room unachukua TAKO LA NYANI apo utakua umeongeza umasikini au?
Kwanini unanilazimisha niuze?M

Njoo uwaone wazee wa kichaga huku wana ma benz ya mwaka 1970/80's yako ndani tu yakitoka ni jumapili church huku wana Ma range rovers/vx v8/,audi Q7 etc ndio gari za kutembelea kila siku.

Unajua hata maana VINTAGE/CLASSIC CARS wewe?

No wonder unaongelea noah old model/sijui Harrier tako nyani inaonekana unadhani ndio gari za maana hizo.

Mi nakuona we ndio mshamba tu.
 

Afadhali umenielewa mkuu,hata mimi hii inanikuta sana nikiuza kitu kwa lengo flani mostly hizo hela hata kufanikisha jambo lile zinakua ni changamoto sana.

Hata kuna kipindi nilipost kuuza simu yangu humu,baadae nika cancel nikamgawia ndg yetu mmoja hivi.

So nakuunga mkono mkuu.

Mpe pole sister aisee.
 
Basi sawa mkuu,mimi nimechagua kutokuuza mkuu nikiweza nitagawa ikishindikana hicho kitu kitakaa home tu kama memory mkuu.
 
Hapa tunaongelea watu wavipato vya kati wakina MARK X ukiwemo na ww unapo nitajia wachgga naona ww ndo mshamba

Izoo...Ma range rovers/vx v8/,audi Q7 naamini unaziona kwa macho tu...katika ukoo wenu hakuna aliewahi kuipanda...
 
Kwanza umetoka nnje ya mada nimekuuliza swali ungejibu kwanza

 
Na kweli maana mjerumani hataki mambo ya, "ungaunga mwana" wazungu wanaziita money pits. Unasave bank na kusave hela za dealership!
Hahah daah hapo kwny kwenda nigeria nimecheka sana aseee,dream car ya msela ni benz S 500 kuanzia ya mwaka 2006 ila anasema itabaki kua dream tu maana hela ya kuhudumia hio gari anaweza kujenga room zake 2 au 3 akawa anakula kodi tu hapa mjini.
 
Kwa Mimi navyojua IST uwa azishuki Bei na Kama uliuza itakua ni kwenye range ya 9m nakuendelea....

Kitu ambacho mark x unapata kwa hata 7m

Unataka kuniambia kwa pesa uliyo uza IST ulikula pesa yote Yani hata ya ka paso (Hoho) pia ulishindwa kukanunua?
 
Hapa tunaongelea watu wavipato vya kati wakina MARK X ukiwemo na ww unapo nitajia wachgga naona ww ndo mshamba

Izoo...Ma range rovers/vx v8/,audi Q7 naamini unaziona kwa macho tu...katika ukoo wenu hakuna aliewahi kuipanda...
Kweli kwny ukoo wetu hakuna aliyewahi kupanda lkn kwny ukoo wenu ni bi. Mkubwa wako tu ndo hua anapandishwa na wahindi.

Unajua maana ya Classic car wewe?

Nimekutajia benz naona unapata wenge ngoja nikutaje gari za kawaida ili uzidi kujiona ulivyo fala tu.

Toyota Supra/land cruiser fj40/MR2/corolla gt-s/lexus ls 400 bila shaka ulivyo duanzi pengine hujui hata toyota stout kuna watu wamegoma kuziuza na zinapiga kazi mpk leo fresh kabisaa na very rare.

We tuliza shanga kuna una ki mark X chako uza tu,lkn usilazimishe kila mtu auze chake kwa ushamba wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…