Najuta kwanini niliuza gari yangu

Najuta kwanini niliuza gari yangu

Anakuzingua huyoo....unakumbuka ile storee nilikupa kuhusu kumuazima co- worker mnyama wa maana job? ( Hatapenda nikitaja aina ya gari lake but siku ile nilikutajia do u remember?)...Basi huyu jamaa ndo huyu![emoji1787][emoji1787]

Sema hajishaui

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah heshima nyingi sana kwake mkuu.,kile chombo kiko njema saaaana tena saana.

Ngoja mimi ninayeishi kwa shemeji(kama nilivyoambiwa mdau pale ) nikamfungulie geti shemeji ameshakuja hahah.
 
Hahah heshima nyingi sana kwake mkuu.,kile chombo kiko njema saaaana tena saana.

Ngoja mimi ninayeishi kwa shemeji(kama nilivyoambiwa mdau pale ) nikamfungulie geti shemeji ameshakuja hahah.
Haaaahaaaa a uwiiiiio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha nijitathimini inawezekana JF si jukwaa stahili yangu...hivi kuna wasio na ndinga humu ndani kweli? utasikia wewe huna gari una usafiri !!!
Hahaha mkuu hii ni online babaah. Kuwa wahenga wanasema ukiwa maskini humu ni kujitakia. Kuna raia wanapost vipande vya picha wakiwa na mapigo makali ya kipapaa na wanang'oa wachumba kama kawaida. Sishangai kila mtu kuwa na gari virtualy!
 
Back
Top Bottom