Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.