Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Kachezea mangumi vibaya sana wa Ndani wanamgimbania na wa nje wanaitisha mleteni huku na Sisi tumuonjeKudadeki ningekuwa karibu leo ningeua mtu yaani ile simu angenionyesha ilipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachezea mangumi vibaya sana wa Ndani wanamgimbania na wa nje wanaitisha mleteni huku na Sisi tumuonjeKudadeki ningekuwa karibu leo ningeua mtu yaani ile simu angenionyesha ilipo
Kituo kipi mi simu niliibiwa posta ya zamaniKachezea mangumi vibaya sana wa Ndani wanamgimbania na wa nje wanaitisha mleteni huku na Sisi tumuonje
Fasta tena Kuna wakati ulijiambia napiga vitatu ila ukipiga kimoja TU unamuaga na malipo yake unampa kama mlivyokubalianaUkishamwaga na yeye unammwaga
MIMI mara ya Mwisho nililala na Melina nikafumua kuanzia Bafuni, tukahamia Sebleni tukarudi chumbani tukafuata Jikoni kisha tukaelekea dinning, kabla hatujaelekea kwenye parking yaan usiulize tulifuata nini na kote huko ni mwendo wa kuloweka tu full mimaji full kumwaga uji UJI mpaka Jogoo anawikaVijana ndio maana wanawake wanawadharau, pesa hamna na nguvu hamna.
Acha wajinga wajinga km nyie mnyooshweUnamwamini vipi dada poa??
Hao hata kukukuua kwasababu ya pesa wala haoni shida, kukuitia mwizi upigwe na wahuni hadi ufecau uchomwe moto kwao hilo ni jambo rahisi kabisa.
Kamwe usimwamini dadapoa, umeenda kula mzigo, we kula mzigo tu. Hapo lodge peleka mwili wako na pesa yake kamili tu, vingine acha reception au kwako(hii ni kwa wale beginners) ila mapro wanajua kudeal nao.
Ulivo kolo pro max unaingia lodge na bado mnaendela kugida pombe, bahati yako ulikutana na huyo alikuhurumia angekuwekea ngada au ugoro ukufilie mbali, na gari yako (saa hiyo ni marehemu) hata isingejulikana iko wapi.
Ishi kwa code hasa usiku, kalaghabaho.
jambo usilolijua hao wanaojiuza huko morogoro ni wakazi wa dar.Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.
Hoteli hazitaki kashfa mbaya mkuu.Hotel za Moshi na Arusha ukiingia na demu haruhusiwi kutoka mpaka upigiwe simu room kwako utowe go ahead ndio anaruhusiwa kutoka.
Inshort mademu wa Moshi Arusha hawana tabia za wizi, wanakuza utalii kwao.
Njia hii ya KimaraKituo kipi mi simu niliibiwa posta ya zamani
Aloo nimefanya ujinga gani hadi ninyooshwe??Acha wajinga wajinga km nyie mnyooshwe
Huyo yule uliemtegemea sio ulivyotarajia unampa na Hela ya bia kabisa, maana utasikia "nipe ya bia basi" hapo ushampa Hela yake aende bado anataka na ya biaFasta tena Kuna wakati ulijiambia napiga vitatu ila ukipiga kimoja TU unamuaga na malipo yake unampa kama mlivyokubaliana
Changamsha genge hiiHuyu ni muogo
Iweke hapa mkuu, tuipate na sisi tafadhaliKuna Mwizi mmoja kadakwa kwenye Mwendokasi leo hujaona Ile video kagombaniwa km sinia la Pilau kwenye shughuli ya uswahilini
Siyo kwamba navimba, ila niliacha miaka mingi sana kufikia kwenye logde au guest house nikisafiri.Hoteli hazitaki kashfa mbaya mkuu.
Sasa hizi gest za vichochoroni lazima uishi kwa code, ukiwa zuzu utapoteza kila kitu hata uhai.
... Hivyo unamshauri afute hii kauli 👇🏻👇Hapo Morogoro kuna mwanasiasa alishawahi kuibiwa mpaka bastola.
....... kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba?
Ni ukata tu mkuu, ila hizi lodge na guest uchwara sio salama kwa uhai na usalama wa mali zako.Siyo kwamba navimba, ila niliacha miaka mingi sana kufikia kwenye logde au guest house nikisafiri.
Hotel ziko safe sana mpaka leo kuna sehemu nikienda napiga simu kabisa wanifanyie reservation ya room, hunipeleki vichochoroni.
Chukua apartment unalipa per day acha kuishi kizamani Malaya anafika anajua ni kwako kumbe umelipia kwa siku tu anakupikia unakula unamtomba unamlipa akienda unarudisha funguo mchezo umeishaSiyo kwamba navimba, ila niliacha miaka mingi sana kufikia kwenye logde au guest house nikisafiri.
Hotel ziko safe sana mpaka leo kuna sehemu nikienda napiga simu kabisa wanifanyie reservation ya room, hunipeleki vichochoroni.