Ilinikuta kahumba pale mwaka 2011. Nilichukua mdada fresh kabisa tukaenda gest pale pembeni, kwakuwa nilikuwa na hela nyingi na simu nikatundika suruali kwenye msumari wa mlangoni hela na simu vikiwepo.
Tukaenda bed kuanza libeneke,tulipiga game ya maana, demu akaanza kunikubatia kwa nguvu huku analia , " mume wangu, mume wangu nipokeee, mume wangu nakojoaaa". Tukamaliza fresh.
Nikaesa haya ngoja niondoke ( tulikuwa tumeshalipana kabla), nikaenda kutungua nguo yangu mlangoni niondoke... weee ile nazama mifukoni kucheki simu hakuna, pesa hakuna hata mia, na zilikuwa pesa za kununua vifaa site.
Namuuliza wewe pesa zangu zipo wapi? Anasema hata yeye hajui,si tulikuwa wote kitandani na hajaamka kabisa kama ninavyomuona( alikuwa bado kalala kitandani), tukawa tunagombana ndani mle, walinzi wa kimasai wakaja, wakanitishia kunichoma mikuki kama naleta fujo, demu akaondoka akaniacha ndani natafakari.
Nikaona sio kesi wacha niondoke zangu,nikatoka gesti kile kibarabara cha kutoka kahumba kutokelezea jengo la ccm.nikakuta wamejipanga wengi kikundi wanapena mchapo na yule changu akiwepo.nilipofika pale wakaangua kicheko, "heheeeee halo halooooo". Nilikasirika nikataka kuanzisha vurugu nikaona kuna mateja wamekuja kuwatetea nikaachana nao.
Ilivyokuwa... wakati yule changu kapandisha midadi kunibana kwa kumbato huku akinililia utamu kumbe huku nyuma changu mwingine alifungua mlango na kuingiza mkono kwenye mifuko ya suruali pale mlangoni na kuondoka na vilivyomo.
Tangu siko hiyo niliacha kwenda pale na miezi michache mbele nikaoa mke kabisa ili kuachana na huo ujinga wa kununua wanawake.