Mmoja aliweka pesa ktk mkoba wa changudoa kisirisiri, demu usiku kaamka anaanza kusachi ili aibe aondoke, kakuta jamaa kalala fofofo, mabegi yake hayana hata mia.
Demu akaona huyu jamaa inamaana hata pesa ya kunilipa hana, itabidi amuamshe ili adai pesa usiku huo aone kama jamaa hana pesa ya kumlipa au kaficha wapi, jamaa alivyoamkq akamwambia demu lete mkoba wako, demu alijilaumu sana kukosa mapesa mengi vile, hakujua.