Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Bro unadhani ungezima leo ungekuwa Dewji?
 
Utapokelewa mbinguni siku ya mwisho , Dunia tunapita tu
 
Muda wako ulikuwa bado
 
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Aiseeee hao jamaa noma kweli nilitaka kuleta Embe zangu from shamba kama Fuso 3 hivi lakini nikapewa mizunguko mireefuu daah
 
it's all about peace of mind na wewe kufanya ambacho unaona ni sahihi bila kujutia na kwa kujuta kwako leo kunaonesha huenda kunaonyesha sio mtu wa principles...

Anyway huenda ungezima sasa hivi wewe na hao jamaa zako wote mngekuwa gerezani au mgeshapigana risasi kwa kudhulumiana wakati wa kugawana pesa / au wangeku-blackmail kuzima mara kwa mara au wanakuchomea kwamba ulishiriki wizi....

In short Yesterday's Gone and Tomorrow's a Mystery.... Life is Short live for Today hakuna muda wa ku-regret
 
Naona wengi hapa mnazungumzia nadhari ama simulizi mlizowahi kusimuliwa kuhusu matukio na wizi kwanye mining industries bongo.
 
Usijaribu hii kitu ndugu yangu, Camera zilizogungwa kiustadi kila kamera ina mlinzi wake so tangu unaisogelea ile ya awali kuipindisha tayari utakua umenaswa. Kuwa mwaminifu daima
Hii sio kweli mkuu, sababu kwa idadi ya camera zilizopo Bulyanhulu pekee basi walizi wangekua wengi zaidi ya wafanyakazi. Na hata control room ingekua kubwa kuliko administration block
 
Mleta uzi ni muongo kwasababu hiyo 2014 mchezo wa off camera ulikua ushapitwa na wakati. Na hata hiyo pesa aliyo itaja ilikua ni kiwango kidogo sana kwa camera turn from the seen.
Bado nashauri ukae kimya tena mkuu
Ndugu ninatoa maoni kulingana na uzi ulivyoletwa. Kama kuna mambo mengine ya zaidi bora wewe unayejua ungeelezea. Kinyume na hapo huna uhalali wa kunishauri nikae kimya.
 
Milioni kumi ndogo,kama ni 50 miningezima.
Umetaja 50 ukanikumbusha kenge moja tena yuko humu. 2013 aliziima camera akaingia ofisi ya watunza fedha akakuta sefu Ina 200M akachukua 50 na hizo 50 zenyewe akazinwa na mtu alie mpa mzigo atoke nao. Nilimwambia wewe ni fala unepiga zote 200M mpaka mtu atakae kuja kufungua sefu azimie akiikuta empty😂😂
 
Ndugu ninatoa maoni kulingana na uzi ulivyoletwa. Kama kuna mambo mengine ya zaidi bora wewe unayejua ungeelezea. Kinyume na hapo huna uhalali wa kunishauri nikae kimya.
Upo sahihi mkuu...🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…