Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Nikikumbuka nilivyopambana hadi kuchanwa na kisu nikiokoa dada mmoja usiku asibakwe na wahuni watano na baadae akaja kunibania hata mimi, najutia sana. Ningeacha tuu wamf au ningeunga mkono juhudi
 
Kibinadamu unaweza kuonekana mjinga lakini huwezi kujua ni kwa namna gani Mungu alikuepusha na matatizo ambayo ungeyajutia kwa muda mrefu, Ulikuwa sahihi bro wala huna cha kujutia.
Nimefanya kwenye migodi mikubwa mitatu hapa bongo, lakini sikuwahi na sintowahi kuwa na fikra kama hizi kwa bepari
 
Nikikimbuka nilivyopambana hadi kuchanwa na kisu nikiokoa dada mmoja usiku asibakwe na wahuni watano na baadae akaja kunibania hata mimi, najutia sana. Ningeacha tuu wamf au ningeunga mkono juhudi
Hapo uliokoa uhai, na hauna haja ya kujutia katika hili maana hata alivyo kubania pengine alikua anakuhurumia asije akakuambukiza jambo lake..☺
 
Hii sio kweli mkuu, sababu kwa idadi ya camera zilizopo Bulyanhulu pekee basi walizi wangekua wengi zaidi ya wafanyakazi. Na hata control room ingekua kubwa kuliko administration block

Nadhani mleta hoja amemaanisha kwamba kwa kila camera kuna camera nyingine inayomlinda camera mwenzake ,, hivyo kabla ya kuisogelea camera yoyote kuipinda utakua tayari umenaswa na camera nyingine.
 
Nadhani mleta hoja amemaanisha kwamba kwa kila camera kuna camera nyingine inayomlinda camera mwenzake ,, hivyo kabla ya kuisogelea camera yoyote kuipinda utakua tayari umenaswa na camera nyingine.
Hiyo pia bado ngumu mkuu, mfano processing plant pekee ya Bulyanhulu inakamera zaidi ya 70. Hapo bado Underground, Where House, Compaunds and Perimeters, Entre and Exit, Work Shops, Training, Administration and Finace, Camp na kadhalika
 
Nadhani mleta hoja amemaanisha kwamba kwa kila camera kuna camera nyingine inayomlinda camera mwenzake ,, hivyo kabla ya kuisogelea camera yoyote kuipinda utakua tayari umenaswa na camera nyingine.
Lakini kwa maelezo Ni "yeye tu" aliyegoma wengine wote walishakubalina na hali. Ina maana hata hizo camera zingine zilishakubali "kupiga"
 
Why ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Ukihojiwa kwanini zilikuwa zimepinda na hazitakiwi kupinda, wewe kazi yako ni kuhakiki kama zipo on na zina face the right direction.Je ungejibuje?
 
Back
Top Bottom