Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Haiwezekani mkuu, kuanzia 1997 walinzi walikua wa kampuni mama ambayo iliitwa PLACEDOM kabla ya mwaka 2000 kuitwa KMCL.Inawezekana. Nilikuwa pale 2000 hadi 2006 nikasepa, walinzi walikuwa waajiliwa wa KMCL na baadhi yao walikuwa wanaishi Kakola
Sikuzile kampuni mama ilikua inawaajiriwa wachache sana zaidi palikua na sub contractors kama SKANSKA walio kata Box cut kwaajili ya under ground, Bynecut walio endeleza Underground Development, Ruc waliokua shaft Sinkers, Noremco walioweka slubs zote na hata wakatihuo Process Plant na cctv haikua imejengwa.
Wakati ule walibzi wengi walikua Non Camp residents.