Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.

Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.

Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Ulifanya jambo jema mkuu wala hupaswi kujuta chochote
 
DUUUH ... inaaminika pesa za madini dhahabu, almasi nk ni za laana usipokuwa makini zinakufanya vibaya
Wengi nawajua walizipata na leo wanamaisha poa na walio thubutu kuingia kwenye biashara wamefanikiwa pia.
Mkuu ebu ifike waTanzania watambue kwamba kazi za migodini ni kazi halali kama kazi yeyote. Na upigaji wa migodini sio kwenye dhahabu tu, bali upo kila idara kuanzia Procurement, Administration, Store, Subcontractors pia pamejaa rushwa kama sehem nyingine yeyote.
Na hakuna mahusiano kati ya pesa ya migodini na uchawi ama ushirikina maana hizo ni tabia za mtu binafsi
 
WEWE UTAKUWA MTU WA MAABARA TU , TUULIZE SISI WATU WA FIELD!!!!!!!
 
Baadhi ya manager wa kiafrika kwenye NGO za nje huwa ni wakuda kuliko wazungu mfano unaweza ukatuma maombi ya kazi Mara nyingi sifa unazo hatua zote vigezo vyote umefuata achana na kuajiliwa hautwi kwenye usaili wanajificha kwenye kichaka cha short list.[emoji24][emoji24][emoji24]
Jazia nyama kidogo ili tunufaike sote Kaka.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
B
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.

Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.

Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Ado upo Hapo kwenye sisitivii au wamekupandisha cheo au shaharaa.....
 
Ulifanya kile ambacho kilikupa amani ya roho nashangaa Kwa Nini Sasa hivi unajutia,?Mimi hata mia yenyewe sithubutu kuchukua sembuse kuiba?, Basi tu najiskia amani kutokuchukua ktu cha mtu bila ridhaa yake.
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.

Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.

Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Hili ndilo janga la mwafrika...
Wizi
Wizi
Wizi
Wizi.
Hii tabia ndio imetufanya maskini kuanzia mtu mmoja mmoja hadi taifa.
Hakuna jamii iliyowahi kufanikiwa kwa wizi.
Kitendo cha kutokuaminiwa na kuaminiana imetupa hasara kubwa sana maishani.
Timiza wajibu wako acha wizi kwa ajili ya amani ya roho yako na.

Waafrika tunaibia sana wazungu lkn hatushtuki kuwa hawapungukiwi wala kuwa masikini?
Tubadilike
 
Back
Top Bottom