JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Good people still exist1. Good People do exist
2. Good People are still existing.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good people still exist1. Good People do exist
2. Good People are still existing.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu, kuna jamaa alichoto kwenye kampuni ya muisraeli 150m, kesi kesi kesi mwishowe mwana akaachiwa. Ila alipiga kweli na sasa hivi maisha yake yapo juu ya mstariYani hakimu amfunge Mtanzania mwenzake jela kwasababu ya Mzungu ambao wametesa Babu zetu na mpaka leo hii wanapora mali zetu
Naomba unisamehe sana mkuu, kheri tugombane lakini tusipigane..☺Nina ugomvi nawe mkubwa sana I wish nikupige ngumi nawe unipige vyakutosha halafu tusameheane...unaonaje mkuu?
Chochote ambacho tutakifanya maadam tukimalizana undugu urudieNaomba unisamehe sana mkuu, kheri tugombane lakini tusipigane..☺
Shamban kwangu mi nawalipa elfu 5 kutwaKama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Umefanya powaa Sana,huwenda sasa ungekuwa unaozea jela bro,ni taamaa ya mdaa mfupi ingeharibu FutureIlikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.
Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.
Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Sasa malipo si inategemea na unachozalisha?? Au mlikubliana elf 10 halafu akakupa elf 4??kama unaon huridhiki unamuachia kazi yake wafanyw wengine wanaohitaji kuliko kumuhujumu halafu kuumiza wngine wenye uhitaji wa kazi!!Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Anawatunzia ili aje awagawie kilo ya mchele na nyama siku ya SikuKuu ya Idd. Na hapo atakuwa amefuta dhambi zote za dhuluma, swawabu zitajaa mpaka kumwagika, then ataanza tena.Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Mimi tungeshindwana kwenye dau tu....kama wanatangaza dau la maana sina cha kujiuliza zaidi sharti moja tu; prior deposit siyo issue za baadae ..... Nop sitaki!!!Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa
Hakimu ndiyo anaamua we unasikia mtanzania akifanya kosa ambalo kosa kama ilo kalifanya Mchina hukumu inakuwa tofauti utakuta mchina anafungwa mwezi mmoja au faini ya laki moja waki Mtanzania atafungwa miaka 20 pamoja na faini ya millioni 40, kosa hukumu fofauti.Ni hakimu anamfunga mtu au sheria?
Hakuna jamii isiyokuwa na wizi, Wachina wezi sana, Waarabu wezi, Wazungu wezi, kama hujawai kufanya kazi na jamii yaki Mataifa huwezi kulitambua ili.Hili ndilo janga la mwafrika...
Wizi
Wizi
Wizi
Wizi.
Hii tabia ndio imetufanya maskini kuanzia mtu mmoja mmoja hadi taifa.
Hakuna jamii iliyowahi kufanikiwa kwa wizi.
Kitendo cha kutokuaminiwa na kuaminiana imetupa hasara kubwa sana maishani.
Timiza wajibu wako acha wizi kwa ajili ya amani ya roho yako na.
Waafrika tunaibia sana wazungu lkn hatushtuki kuwa hawapungukiwi wala kuwa masikini?
Tubadilike
Dawa ni kujiepusha sana na mambo yatakayoweza kusababisha ukala hizo mvua. Kwa nchi za kiafrika usijaribu kujihusisha na wizi mdogo mdogo utaishia jela. Kama umeamua kuwa mwizi jipange uibe mabilioni kama baadhi ya mafisadi.Hakimu ndiyo anaamua we unasikia mtanzania akifanya kosa ambalo kosa kama ilo kalifanya Mchina hukumu inakuwa tofauti utakuta mchina anafungwa mwezi mmoja au faini ya laki moja waki Mtanzania atafungwa miaka 20 pamoja na faini ya millioni 40, kosa hukumu fofauti.
Ukimuibia mgeni hapa Bongo kufungwa upande mwenyewe tu, kwanza mgeni kufatilia kesi Mahakamani ni ngumu na wao wenyewe wana makosa kibao wanajua wakifatlia kesi mambo yao maovu yata fichuka.Ni kweli kabisa mkuu, kuna jamaa alichoto kwenye kampuni ya muisraeli 150m, kesi kesi kesi mwishowe mwana akaachiwa. Ila alipiga kweli na sasa hivi maisha yake yapo juu ya mstari
Ulifanya kitu sahihi mkuu, hutakiwi kujuta maana gharama yake ungejuta...Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.
Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.
Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Camera zilizowekwa kiustadi zinalindana.... lazima kamera ziangaliane...Why ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?