Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

Najuta nimezaa nje ya ndoa, ushauri wako muhimu sana

Pole sana ndugu kuteleza siyo kuanguka kwa mtazamo wangu kumbuka hakuna chenye siri hapa dunia utaficha mpaka ln tafuta wazazi wako na wazazi wa huyo mwanamke waeleze ukweli wao watajua jinsi ya kukusaidia kuendelea kuficha hatasaidia kwan inakuongezea wasi wasi kila siku pia huwez kukana damu yako ndugu yangu fanya hivyo naamini kwa mtazamo wangu.
 
Mume wangu kwanini umenisaliti,Ni kipi ulichokosa kwangu?roho inaniuma sana,nimeishi na wewe kwa upendo wangu wote,Nimejiheshimu na kuutunza mwili wangu kwa ajili yako,Sikutegemea kuwa kuna siku ungenisaliti,Nashukuru sana kwa uliyonitendea.

is this really?PLEASE TELL ME ITS NOT!
 
Wadau nashukuru sana tena sana tu kwa ushauri wenu, nimefarijika sana kwa namna watu walivyotoa ushauri kiroho safi,
Kwa sasa natumia simu inanizengua, nakosa wasaa mzuri wa kurespond baadhi ya post

Hata hivyo wengi wanadhani ni kijijini, ukweli ni kwamba sio kijijini ni mjini yaani makao makuu ya mkoa

Msione nipo kimya, napitia kila bandiko kwa mapana na marefu yake na bado nipo nakaribisha mawazo zaid kabla ya kuchanganya na zakwangu

Mbarikiwe sana
 
mmmh...kwakuwa bado ni wadogo,funguka na mtaarifu mkeo ukweli... Atachukia mara ya kwanza,kama ana moyo wa imani eventually ataelewa kama watoto hawana hatia.. Mtaarifu mkeo kaka.

akijua lazima atalipiza kisasi tu
 
kaka huu mtego,mimi ningekuwa wewe,ningeacha tu hii hali mpaka ibumburuke yenyewe!!!ila kiukweli upo kwenye kona ngumu sana
 
kaka pole sana hili swala lako ni gumu sana nimewaza sana juu ya hii ishu kwanza mueleze mkeo uweze kuwa huru kaka vinginevyo utateseka bure kwa kuficha mwisho wa siku akijua mwenyewe itakuwa balaa kubwa pengine hamtaaminiana na wfe tena!!

hapo tafuta nafasi umwambie japo inakuwa ngumu lkn no way inabidi ajue tu kuliko akija akija kujua mwenyewe!
 
Mamii ilikuwa rahisi kwa kuwa huyo mtoto ulimkuta to be frank nizungumze nikiwa ni mwanamke ni ngumu sana kukubali kulea mtoto aliyekukuta.maana kupitia kwake unauona uovu wa mumeo,kupitia kwake unjiona labda pengine kuna sehemu hukukamilika,kupitia kwake unazidi kujihisi una mapungufu si unajua siye wanawake tunavokimbilia kujilaumu katika kila makosa ya waume zetu,so please tusilinganishe mtoto wa nje ya ndoa na mtoto wa kabla ya ndoa hawa ni watoto tofaut KABISA,na justification zake pia ni tofauti,mimi mume wangu aniletee hata watoto kumi ambao aliwapata kabla ya kunijua mimi nitawalea maana inawezekana mimi ndiye sababu ya mama yao kuachwa,lakini walio chini ya umri wa ndoa yangu please!mwanaume anapaswa kuwa na busara sana tena sana PLUS MAOMBI!vinginevyo akiendekeza zile za kidume dume za "HAYAISHI,YANI BADO UMEKASIRIKA TU,MKE WANGU SI UNISAMEHE,MBONA HATA KAKA NAE ANA MTTOT MWINGINE NA HAJAMWAMBIA MKEWE SI BORA MI NIMESEMA,!''mambo yanaweza kuwa mabaya sana.nimejaribu kuvaa viatu vya huyo mke though najua siwezi kuimagine atareact vipi!

nafikiri hujanielewa nimeta onyo kabisa kwamba huyu ni wa mashtuzi ila nilitaka kuonyesha tu aina ya busara ambayo inaweza kutumika na ndio maana nikasema simwambii afanye hivi.
 
nafikiri hujanielewa nimeta onyo kabisa kwamba huyu ni wa mashtuzi ila nilitaka kuonyesha tu aina ya busara ambayo inaweza kutumika na ndio maana nikasema simwambii afanye hivi.

poa labda nieleweshe kwenye red hapo my dear!
 
paulss!leo nimeamka vema nimepata cha kukushauri!utamaduni wa kukaa na siri mpaka kufa HAUPO NDANI YA WANAUME!

MARA TU UMALIZAPO KUSOMA POST HII ANZA MCHAKATO WA KUMUAMBIA MKEO!UTAMUAMBIAJE TAFUTA NAMNA BORA ITAKAYOKUFAA KUTOKANA NA JINSI UNAVYOMJUA MKEO!USIGEUKE NYUMA UTAGEUKA JIWE LA CHUMVI!....GO AND TELL YOUR WIFE NOW...THE TRUTH WILL SET YOU FREE.

N.B tena usishangae mkeo kukuambia nilijua tu una tatizo nilishakuona kitambo!wanatujua vema kuliko tunavyodhani!ila sisitiza kutumia neno Mapacha sio watoto 2!lol!watoto 2 maana yake mimba 2 yaani umefanya makosa mara 2!
 
Wadau nashukuru sana tena sana tu kwa ushauri wenu, nimefarijika sana kwa namna watu walivyotoa ushauri kiroho safi,
Kwa sasa natumia simu inanizengua, nakosa wasaa mzuri wa kurespond baadhi ya post

Hata hivyo wengi wanadhani ni kijijini, ukweli ni kwamba sio kijijini ni mjini yaani makao makuu ya mkoa

Msione nipo kimya, napitia kila bandiko kwa mapana na marefu yake na bado nipo nakaribisha mawazo zaid kabla ya kuchanganya na zakwangu

Mbarikiwe sana

kiongozi,huyo kwenye avatar yako ni wewe mwenyewe?au umeiba picha ya jirani yetu?we sio baba nanii wewe?teh teh teh!
 
mara nyingi sana
binadamu tunakuwa na kawaida ya kuona 'matatizo' yetu kama makuubwa sana

kumbe wapi....

ni madogo mno.......ukiyakubali na kuyachukulia kuwa ni madogo

Ongea na mkeo taratiibu
nenda nae kwa step......

1. hatua ya kwanza mwambie kuwa ulitoka nje.....na uombe msamaha

2.hatua ya pili jifanye huna uhakika kuwa huyo binti alizaa watoto wako au la
unataka ku find out

3.hatua ya tatu....unamwambia intention yako ya 'kulea watoto kama ukithiitisha ni wako'

Mkuu hapo kwenye RED i beg to differ but for the rest of the text ...KUDOS..
paulss wengi wamekushauri but hizi ni nondo zifanyie kazi....Kwa mwanamke yeyote hususan aliyekuwa akikuamini ataumia saaana tu...but all in all inategemea aina pia ya mke uliye naye na to what extent anakupenda...
 
<br>
<br>Hata mimi ni mwanaume na nimeoa na mke pia lakini siwezi kutetea hili. Haya ndio yanasababisha watoto wa mitaani na hata magonjwa kwanini tusiwewaaminifu ili tusivuruge ndoa zetu? Hapo iwe isiwe mke wake lazima atajua kama si leo kesho ataficha mpaka lini? ujinga wa leo ni maafa ya kesho

hakuna kitu kama uaminifu....men cheat women cheat, angalia viwango vya maambukizi ya vvu kusini mwa jangwa la sahara halafu niambie
 
Ndahani mbona wanitenda hivyo mwana wa mwenzio..........

Let me fafanua basi wanawake siku hizi wanakazi nzuri, wanamikwanja kwa sana, so kumtisha eti atakosa pa kwenda au atashindwa maisha ni kujidanganya hapo cha muhimu ni huyo mwanamke kukubali matokeo tu MWANAUME WA PEKE YAKO UTAMTOA WAPI SIKU HIZI???

Keleuuuuuwiiiiiii....D.A....apo kwenye RED......ndo tuseme the oppossite is also true?? Twafwa....
 
Mjomba pole sana! Usimuogope binadamu, ilo jambo la kawaida. Kimoja tuu, "UKWELI NDOO UTAKUWEKA HURU."
 
Wadau nashukuru sana tena sana tu kwa ushauri wenu, nimefarijika sana kwa namna watu walivyotoa ushauri kiroho safi,
Kwa sasa natumia simu inanizengua, nakosa wasaa mzuri wa kurespond baadhi ya post

Hata hivyo wengi wanadhani ni kijijini, ukweli ni kwamba sio kijijini ni mjini yaani makao makuu ya mkoa

Msione nipo kimya, napitia kila bandiko kwa mapana na marefu yake na bado nipo nakaribisha mawazo zaid kabla ya kuchanganya na zakwangu

Mbarikiwe sana
Narudia kusema,hujaua mtu,kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya mkeo ni jambo la kawaida kabisa na usiwe na hofu nawala usidhanie mkeo akijua eti atakuacha,hakuna kitu kama hicho. Relax ni mapito tu akijua atanuna mwisho atazoea.
 
Sioni sababu ya kumweleza mkeo kwa sasa wewe endelea kutuma pesa yamatumizi na wala usimshirikishe kiumbe yeyote kwani hilo ni kosa siri ni ya mtu mmoja. Make sure unatunza kumbukumbu za kutuma pesa later, watafutie shule boarding with time utakuja mshirikisha mwenzi wako
 
Back
Top Bottom