binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
"Kataa ndoa" mpate point 3 msipate ila kamwe dunia haitakaa ikubaliane na mawazo ya aina moja na ndiyo uhalisia japo mchungu.Kataa ndoa tumepata point 3 zingine
Mpelekee mke wako amle kwa miaka km mitatu iviPoleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Kwani binti kiziwi wew hucheatMke afanye yote ila sio kucheat na kudharau hela za mumewe. Binafsi ningekuwa mwanaume nisingesamehe.
Haya kaoe awe wapili, si mnapendana? 3 years damn! ninyi ni wana ndoa.
Sio tu kucheat, sifanyi kabisa. Kama sifanyi maana yake hakuna ninayemcheat.Kwani binti kiziwi wew hucheat
This is a real definition of "Keyboard worriors" but behind the scenes is what actually unimplemented.Acha ufala wewe unajutia nini bwana. Kuwa mwanaume kamili hapo hamna vha kujjtia. Wanawake ni wetu sote ulichofanya ni kitu normal kabisa ata mke wake nae anapenda kutaste mambo tofauti.
Kwanza huyo mume wake bwege tuu. Dunia ya sada hakuna mwanamke au mwanaume wako peke yako. Thats the harsh reality. Mzeya wee endelea na maisha na wala usiombe msamahaa
Sema mkee anauma dogo,ukute kunawatoto.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Mke anauma dogo,Tena ukute kunawatoto wadogo wapo na mama yao.wewe uko huku jamii forum kuomba ushauri.malipo ni hapahapa duniani.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Nipe mkeo tuone kama implementation inatake place au lah.This is a real definition of "Keyboard worriors" but behind the scenes is what actually unimplemented.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Mpe Jamaa mkeo, we chukua mke (ex) wake.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Sasa mkundu unathamani gani wewe?Na mimi siongelei wale walio na Akili ya potelea mbali kwamba unajua ipo siku utafumaniwa na Mwanaume mwenzio atakuingilia nyuma mwiko mi nawazungumzia Wanaume wenye kujielewa wewe hujielewi kama mke wa mwenzio unaona hakuna tatizo kugonga hata mnduku wako hauna thamani.
JamaniiiSio tu kucheat, sifanyi kabisa. Kama sifanyi maana yake hakuna ninayemcheat.
NB: Maandishi haya si mageni jijini π
Sio tu kucheat, sifanyi kabisa. Kama sifanyi maana yake hakuna ninayemcheat.
NB: Maandishi haya si mageni jijini π
Hutaki kuamini kuwa bado Mungu ana watakatifu wake duniani au unamaanisha nini?Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Kumuua unakuwa umemfaidisha, anatakiwa kutiwa kilema cha maisha kata miguu abaki kiweteWatu kama ninyi mnapaswa kuuliwa.
Hustahili kuishi.
Tafuta siku jamaa akiwa na hasira kali uende kwake na huyo mkewe. Mkifika nyumbani kwake muingie chumbani halafu uchukue simu yako ujipige selfie wewe na huyo mkewe unaemla kwa miaka 3 mbele ya huyo jamaa mwenye hasira kali.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Hizi timu zilizo na defense mbovu zinawapa sana point za ushindi TEAM KATAA NDOA. Kongole kwenu.Kataa ndoa tumepata point 3 zingine
Na comment yako nayo ni ya kutunga tunga tu vile vile.Wee unaona kuna ukweli kwenye ile stori, stori za kutunga tunga ushauri nao wa kutunga tunga tuuu.
Ukiwaambia mke wa mtu ni sumu wanakwambia wanatembea na maziwaKila siku tunasema mke wa mtu ni sumu hamsikii, subiri mambo yakiharibikie, soon mkeo anaanza kutafunwa ili uujue utamu halisi wa kutafuniwa mke, kwa ulivyo na hasira utaishia kujitundika