Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Mpelekee mke wako amle kwa miaka km mitatu ivi
Alaf ndo umuombe msamaha
 
Acha ufala wewe unajutia nini bwana. Kuwa mwanaume kamili hapo hamna vha kujjtia. Wanawake ni wetu sote ulichofanya ni kitu normal kabisa ata mke wake nae anapenda kutaste mambo tofauti.
Kwanza huyo mume wake bwege tuu. Dunia ya sada hakuna mwanamke au mwanaume wako peke yako. Thats the harsh reality. Mzeya wee endelea na maisha na wala usiombe msamahaa
This is a real definition of "Keyboard worriors" but behind the scenes is what actually unimplemented.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Sema mkee anauma dogo,ukute kunawatoto.

Mke anauma dogo,Tena ukute kunawatoto wadogo wapo na mama yao.wewe uko huku jamii forum kuomba ushauri.malipo ni hapahapa duniani.
 
Tatizo kubwa liko kwa mkewe.
Kwanini asingekukataa ??
Kwani umefanya kumbaka ??
 
Dogo umetomba mke wangu for three consecutive years. Inaniuma sana ili nikusamehe inabidi nimtombe na mkeo kwa wiki tatu mfululizo.
 
This is a real definition of "Keyboard worriors" but behind the scenes is what actually unimplemented.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
Nipe mkeo tuone kama implementation inatake place au lah.
Ila just so u know mie nina kibamia so make sure wife anapenda vibamia.
Kama ni mtu wa biringanya basi it will not make sense for her to take such a risk.
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Mpe Jamaa mkeo, we chukua mke (ex) wake.
 
Na mimi siongelei wale walio na Akili ya potelea mbali kwamba unajua ipo siku utafumaniwa na Mwanaume mwenzio atakuingilia nyuma mwiko mi nawazungumzia Wanaume wenye kujielewa wewe hujielewi kama mke wa mwenzio unaona hakuna tatizo kugonga hata mnduku wako hauna thamani.
Sasa mkundu unathamani gani wewe?
 
Safi sana mwamba kumtia huyo mwanamke. Hiyo ndio dawa yao. Unaacha kuheshimu mume anayekustiri unakimbilia malaya
 
Sio tu kucheat, sifanyi kabisa. Kama sifanyi maana yake hakuna ninayemcheat.

NB: Maandishi haya si mageni jijini 😀

Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Hutaki kuamini kuwa bado Mungu ana watakatifu wake duniani au unamaanisha nini?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Tafuta siku jamaa akiwa na hasira kali uende kwake na huyo mkewe. Mkifika nyumbani kwake muingie chumbani halafu uchukue simu yako ujipige selfie wewe na huyo mkewe unaemla kwa miaka 3 mbele ya huyo jamaa mwenye hasira kali.
 
Kila siku tunasema mke wa mtu ni sumu hamsikii, subiri mambo yakiharibikie, soon mkeo anaanza kutafunwa ili uujue utamu halisi wa kutafuniwa mke, kwa ulivyo na hasira utaishia kujitundika
Ukiwaambia mke wa mtu ni sumu wanakwambia wanatembea na maziwa
 
Back
Top Bottom