NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Ukiona unajutia maamuzi ulio yafanya kama mwanaume wewe ni boya
 
Ukiona unajutia maamuzi ulio yafanya kama mwanaume wewe ni boya
Hata Arnold wa terminator alizaa nje na mtoto alifanana na yeye sana.

Siku moja alisema Ni kitu alijutia sana alitamani siku zirudi nyuma.
 
Huo ndo uanaume sasa
 
Inafikiri ulizaakwa bahatimbaya!?

Mungu Alisha program sura za viumbe vyake kwa muda mrefu sana kwahiyo huwa anatoa hizo kopi Kwa style tofauti!

Ulifanya kosa la kiufundi tu kumpeleka nyumbani kwako coz mwana wa ahadi Huwa harithi na mwana wa mjakazi!!

Ungempangia chumba yule dem na mtaji ungempa ili alee moto wako huku mkiwasiliana kimya kimya!

Angekuja kugundua isingemuuma kama anavyomuona hapo kilasiku!!

Mimi siwezi letamtoto wa nje ndani Bali atalelewa huko huko au hatakwa dada hadi awe mkubwa tuma tu matumizi!!

NashauriMpeleke kwabini take yaani mama yako!
 
O
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…