Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Bora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.
Hiyo inatokana kule Facebook kuna makundi ya watafuta ndoa 😂watu wanapelekana tu wanajifanya kila kitu online ndo matokeo yake.
 
General.. Umeng'atwa na mbuzi.
 
Ukome kaka yangu alimpata mkewe Facebook now aliko anakoma sana ningeelezea hapa tukio moja ila yupo humu ataijua I'd yangu
 
Mwanamke alitepoteza marinda Mara chache San kutulia kwenye ndoa
 
Bora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.
Ahahahahh watu wa Facebook mna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…