Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babeki nimeambulia kichecheUnaniangusha Officer unakimbizaje kuku mweusi gizani.
Narudi kwa speed kwenye uzi wakataa ndoaaNayeye atakuwa anajuta huyoo kukutana nawewe kifupi kila mtu anajutia upande wake
Kwahiyo unataka umwache sio😃😃Too late now
Hiyo inatokana kule Facebook kuna makundi ya watafuta ndoa 😂watu wanapelekana tu wanajifanya kila kitu online ndo matokeo yake.Bora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.
Mapema sanaaKwahiyo unataka umwache sio😃😃
Basi sawa,,kila la kheriY
Mapema sanaa
Kabisa kaka hapo ndo kosa la maisha kwanguAcha kuisingizia Fb ni wewe na minyege yako bro
Siku nyingine acha kupenda kimuhemko humu mitandaoni kuna mashetani watu
Kataaa ndoa wana jambo.lao kwa uzi.huu
General.. Umeng'atwa na mbuzi.Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
Ukome kaka yangu alimpata mkewe Facebook now aliko anakoma sana ningeelezea hapa tukio moja ila yupo humu ataijua I'd yanguMnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
Upwiru wa mchana mbaya sana.kuliko wa usikusasa kwanini uliamua kumuoa haraka??
Mwanamke alitepoteza marinda Mara chache San kutulia kwenye ndoaMnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
Ahahahahh watu wa Facebook mna mamboBora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.