Duuu,,,vipi kuhusu malezi, unaishi nao au wapo na mama zao?Nina watoto wawili kila mmoja na mama ake.
Lengo ni kupata watoto 4
Mwakani nitapata wa3 huyu nae atakuwa na mama ake.
Tuendelee kutafuta pesa za kulea watoto wetu na ili waje kurithi..!!!
#YNWA
Lea wanao hao ndio future yakoNamshukuru Mungu kwa kuendelea kunikirimia pumzi ya uhai na afya njema. Nina miaka 37 lakini jambo linalo nikosesha amani kila wakati ni watoto wangu watatu. Kila mmoja ana mama yake. Jamii yangu wakati mwingine hunichukulia kama mhuni hivi.
Jambo hili huwa linaniumiza sana. Nafikiria issue ya kuoa haina maana tena. Wenzangu wenye hali kama hii mnaweza ku-handle mazingira kama hayo kwenye jamii zenu?
Duuu,,,vipi kuhusu malezi, unaishi nao au wapo na mama zao?
ok1. Mama ake kaolewa.
Huwa anakuja kwangu likizo.
Tulielewana akifika sekondary anahamia kwangu kwa Mimi kumtafutia Shule nzuri jirani na kwangu.
2. Niko nae.
3. Tupo kwenye mazungumzo ya nani atakaa na mtoto
#YNWA
Ila ni mzazi mwenzio, vp akimiss shooHao ni wake za watu tayari ndugu. Si vema kumkunja mke wa mwenzio,,
Akili kubwa ni ipi mkuu au ww ulitakaje yaan baada ya kuzaa na jamaa wajikunyate kisa wamezaa!! Na jamaa hakuona kat yao anafaa kuoa hizo ss ni shida zake ila wametokea wanaume wamewaona katkat ya kuzalishwa bila ndoa lkn bado wanafaa kuwa wake za watu!!Dah balaaa hili. Yaani wote wake za watu na wamewaacha watoto zao. Kweli hao wanawake ni akili ndogo
Strong point,big up mkuu,hakika umeandikaKuna mtu hapo juu kasema pambana uwalew kimaadili..maadili which..maadili who..maadili what??
Kazi ya malezi ni ya mama..unae mwanamke anaeweza kulea hao??
Kabla hujafanya jambo kaa chini hesabu gharama yake. Mkuu sikufichi safari ya watoto ina mengi. You need a woman..a mother to the kids. Awalee katika unyoofu. Shida ni je nani atakaeweza...anahitajikaa very strong entity kuubeba huu msalaba. Ila kama unaweza ingia kufunga na kuomba. Unahitaji mafunuo ya kimbingu kumpata mwanamke mwema sio mwanamke muigizaji. Maana mwingine atakuigizia weeee mwisho baadae awe mwiba kwa hao watoto.
Inabidi ugharamike kiroho, kiuchumi, kimwili ili hao watoto wakue vizuri.
Shukrani kwa kuliona hilo[emoji122]Kwajinsi wanaume tulivyojitanabahi humu nakulisupport hili jambo, basi naomba iwe na mwisho kuwakashifu single mothers na kusema wanawake wasikuizi siwakuwaoa. Tunatengeneza watoto wasio na malezi ya mzazi mmoja na mara nyingi huwa baba mwishowe huishia kuwa mashoga na majambazi halafu tunajifanya sisi vidume hatuupendi ushoga kumbe tumeutengeneza. [emoji23][emoji23]kweli akili za mtu mweusi hazihusishi logic na future consequences.
Hao sio wife materialAkili kubwa ni ipi mkuu au ww ulitakaje yaan baada ya kuzaa na jamaa wajikunyate kisa wamezaa!! Na jamaa hakuona kat yao anafaa kuoa hizo ss ni shida zake ila wametokea wanaume wamewaona katkat ya kuzalishwa bila ndoa lkn bado wanafaa kuwa wake za watu!!
Kumbe mnapenda kuzalisha na kuacha half mnaanza kuwaponda single mamaz.
Kama wako kwako, usioe kwanza; itakulazimu uwe na miji miwili kwa usalama wa watoto.Watoto ninao mwenyewe mkuu
Kama anataka kuoa, ingekuwa vizuri kama watoto wakiwa kwa mama zao; huku jamaa akituma matumizi tuKuna Jamaa Yangu Ana Watoto 12
Mama Tofauti Yaani Akuwa Na Wakati Mgumu
ukioa Ajaye Atazaa Halafu Maneno Kama Yote
Ishi Nao Hakuna Namna
Pesa kiasi gani hicho ambacho sina? Otherwise, hujafikiri vizuri.Itakua Hauna pesa !! Otherwise!! Burudaaaanne tu mbona!!
[emoji2214][emoji2214]