Kuna mtu hapo juu kasema pambana uwalew kimaadili..maadili which..maadili who..maadili what??
Kazi ya malezi ni ya mama..unae mwanamke anaeweza kulea hao??
Kabla hujafanya jambo kaa chini hesabu gharama yake. Mkuu sikufichi safari ya watoto ina mengi. You need a woman..a mother to the kids. Awalee katika unyoofu. Shida ni je nani atakaeweza...anahitajikaa very strong entity kuubeba huu msalaba. Ila kama unaweza ingia kufunga na kuomba. Unahitaji mafunuo ya kimbingu kumpata mwanamke mwema sio mwanamke muigizaji. Maana mwingine atakuigizia weeee mwisho baadae awe mwiba kwa hao watoto.
Inabidi ugharamike kiroho, kiuchumi, kimwili ili hao watoto wakue vizuri.