Najutia tukio hili: Sikuweza kumsaidia rafiki yangu akajinyonga

Aisee huyo aliyejinyonga ilikuwa eneo gani? Pale msikitini au wa karibu na uwanja wa barafu ?

Anyway, maeneo yangu hayo.
 
" Guilty Consciousness "
hali hio watakuwa nayo wanamatusi wa humu na kwengineko dhidi ya ushujaa wa kamanda JPM.

Ina nguvu sana hio kitu itawaandama daima kwa matusi walio na wanayo toa kwa Baba yetu JPM ,its hard to escape from it

watajiona wanahusika moja kwa moja na kifo chake kama ilivyo kwako hapo sasa ( Mtakuja kujionea wenyewe )
Kama ilivyo kwangu kivipi mkuu?Me mwenyewe nasikitika Raisi wangu hayupo!My all time president!
 
Alivyokwambia anataka kujiua. Ukumuuliza hata sababu za yeye kutaka kufanya hvo?
Nilimuuliza mkuu, kwa majibu aliyonipa sikuyachukulia serious maana nilikuwa nikimuangalia anaonekana mwenye furaha kunizidi. Hata alikuwa akiumwa yuko very strong kushinda mimi nikiumwa!
 
Mkuu acha tu...nakumbuka miaka ya 90 huko maeneo ya mburahati barafu....kuna mtu alijinyonga, tukaenda kuona, tulivyorudi mmoja wa mdada tulioenda nae alikuwa Nesi....akatoa kauli kuwa "mimi siwezi kujinyonga yani".
Baada miezi kadhaa yule Dada alijiua kwa kujikata koromeo! Inasemekana alikorofishana na shemeji yake...

Kauli yako imenikumbusha huu mkasa...
Kuna vitu usiseme huwezi kuvifanya!
 
" Guilty Consciousness "
hali hio watakuwa nayo wanamatusi wa humu na kwengineko dhidi ya ushujaa wa kamanda JPM.

Ina nguvu sana hio kitu itawaandama daima kwa matusi walio na wanayo toa kwa Baba yetu JPM ,its hard to escape from it

watajiona wanahusika moja kwa moja na kifo chake kama ilivyo kwako hapo sasa ( Mtakuja kujionea wenyewe )
"Guilty Consciousness" uko nayo wewe kwa kushindwa kumshauri mazuri mwendazake.
 
mkuu pole kwa kubeba matatizo yasiyo kuhusu na unatembea nayo na yanakutesa haswaaaa
Kikubwa chukulia ushauri ulompatia ulikuwa sahihi sana ila jua kuwa kuna aina ya waomba ushauri wa aina hii;
1 kuna wale wanaomba ushauri na wako tayari kufanyia kazi ushauri wowote watakaopatiwa, maana huwa hawajui wafanye nini kwa wakati huo
2. kuna wale wanaomba ushauri ilihali wanamitizamo yao na huwa wanataka mtu wa kusarport kwa kile walichokifikiria yani, mtu anaomba ushauri ila anataka mtu ampe ushauri kulingana na jibu(mtizamo) alilo nalo kichwani mwake. mfano mtu anaomba ushauri ila ndani ya nafsi yake anaamini kujiua ndo ufumbuzi wa yotee, kwahiyo ukimshauri tofauti na kujiuo anaona ushauri wako hauna maana na ni ushauri usio na maana

Elewa hilo na chukulia alishakuwa na jibu lake ndani ya nafsi hata ka ungefanya jitihada gani
 
Wakuu Salaam,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha.

Siku moja aliniambia anafikiria kujiua sikushtuka nikamshauri kidogo kama vile ushauri wa vijana, wiki mbili baadaye akajinyonga. Nimekaa na hili jambo muda mrefu sana lakini limegomakutoka kwenye nafsi yangu, sina furaha, najilaumu, ninahisi sikutimiza wajibu wangu sehemu fulani ambayo ukiniuliza ni sehemu ipi siijui lakini ninahisi kama rafiki yake nilifeli kumsaidia.

Huu ni mwaka wa 12 sasa naishi kwa maumivu makali sana na sijui nitajitoaje. Je, kuna mtu alishawahi kuwa katika mazingira kama yangu na alisahau vipi akawa na furaha na amani kama zamani?,Mimi nimeshindwa kutojilaumu! popote ulipo Suleiman Nisamehe!

Kama uliwahi kujutia kitu ambacho unahisi ungekifanya na hukukifanya hebu tirirka hapa tuone msaada unaoweza kupatikana.

Mkuu pole kwa masahibu lakini hongera kwa kuwa tayari kutushirikisha kilicho moyoni mwako.

Ni sawa kabisa wala sio tatizo kuhisi unavyohisi kwa sasa,Wanasema ITS OKAY NOT TO BE OKAY.

Kwa kuwa umetambua ni jambo linalokusumbua na unaendea kufanya juhudi kupata msaada ,Naomba nishauri jambo.

Kuna wadau wa masuala ya Afya ya akili ,Ambao kwa kuwa una nafasi ya kutembelea mitandao ya kijamii unaweza kupata msaada kwa wakati sahihi wanaitwa MENTAL HEALTH TANZANIA,Ukiwasiliana nao kuna uwezekano wa kupatiwa ushauri au msaada wa kifikra wa nini ufanye ili kuendelea na shughuli zako nyingine.

DAR ES SALAAM wako Ubungo karibu na Ubungo Plaza ,mtaa wa National Housing,ukitumia namba hizi utapata maelezo zaidi 0766 501 848.

Wana akaunti Instagram ,Facebook na hata twitter ,Pia kwa sasa wamefungua forum kama ilivyo jamii forum,Lakini yenyewe inahusika na masuala ya Afya ya akili.Search mental health Tanzania forum,Kule kuna majukwaa pia ambayo ukipost mada kama hii ,ni rahisi kuzidi kupata msaada wa kitabibu maana kuna wataalam wako online muda wote kwa ajili ya msaada wa issue kama yako.

Kila mmoja ana mapokeo yake ya namna gani jambo linamuumiza moyoni.Hivyo sio lazima ninavyohisi mimi nawe iwe hivyo kwako.
Usikatae kuwa moyo wako haujahuzunika ili tu ufanane na walio kuzunguka ,Kama mwanaume ikifika wakati una huzuni na unahisia nafsi inakwambia kulia,Unatakiwa kulia tena kwa hisia kwelikweli ,Kufanya hivi ni sehemu ya tiba na kuupa moyo nafasi ya kuendelea kufanya mengine.

Kwa lolote karibu PM.

images.jpg

bg3.jpg
 
" Guilty Consciousness "
hali hio watakuwa nayo wanamatusi wa humu na kwengineko dhidi ya ushujaa wa kamanda JPM.

Ina nguvu sana hio kitu itawaandama daima kwa matusi walio na wanayo toa kwa Baba yetu JPM ,its hard to escape from it

watajiona wanahusika moja kwa moja na kifo chake kama ilivyo kwako hapo sasa ( Mtakuja kujionea wenyewe )

Jinsi unavyoishi na watu ndio watakavyokukumbuka, huwezi kulazimisha hata iweje. Shujaa aliishi maisha yake kama ulivyoshuhudia, ugonjwa ukaja akaudharau yakatokea yakutokea. Sasa nani alaumiwe? RIP Shujaa.
 
Wakuu Salaam,

Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha.

Siku moja aliniambia anafikiria kujiua sikushtuka nikamshauri kidogo kama vile ushauri wa vijana, wiki mbili baadaye akajinyonga. Nimekaa na hili jambo muda mrefu sana lakini limegomakutoka kwenye nafsi yangu, sina furaha, najilaumu, ninahisi sikutimiza wajibu wangu sehemu fulani ambayo ukiniuliza ni sehemu ipi siijui lakini ninahisi kama rafiki yake nilifeli kumsaidia.

Huu ni mwaka wa 12 sasa naishi kwa maumivu makali sana na sijui nitajitoaje. Je, kuna mtu alishawahi kuwa katika mazingira kama yangu na alisahau vipi akawa na furaha na amani kama zamani?,Mimi nimeshindwa kutojilaumu! popote ulipo Suleiman Nisamehe!

Kama uliwahi kujutia kitu ambacho unahisi ungekifanya na hukukifanya hebu tirirka hapa tuone msaada unaoweza kupatikana.
 
" Guilty Consciousness "
hali hio watakuwa nayo wanamatusi wa humu na kwengineko dhidi ya ushujaa wa kamanda JPM.

Ina nguvu sana hio kitu itawaandama daima kwa matusi walio na wanayo toa kwa Baba yetu JPM ,its hard to escape from it

watajiona wanahusika moja kwa moja na kifo chake kama ilivyo kwako hapo sasa ( Mtakuja kujionea wenyewe )
We m.senge Nini?
 
Huna cha kushauri zaidi ya kuandika huu upimbi wako?
 
Back
Top Bottom