M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 408
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..
Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.