Najuuuuuta Kuifahamu

Najuuuuuta Kuifahamu

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..

Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.

Poleeeeeeeeeee hayo ni maradhi yasiyotibika ..
nadhani na unywaji wa Pombe umepunguwa kwa kiasi kikubwa muda mwingi unakuwa JF
 
watu wengi sana wamefaidika n amichango yako ya kitaalam humu
havent you made new friends......am sure you have.....

umejifunza mengi, unapata taarifa nyingi tena za muhimu na mapema zaidi
 
Kitendo cha kuwa hapa muda huu kinakuepusha na mambo meengi sana mtaani ambayo otherwise ungekuwa unayafanya saa hii huko!..Ni bora ukarecharge modem na ukawa salama kwenye JF kuliko kuwa kitaa ukipiga mishemishe za kuhatarisha maisha!
JF-a good place to stay!
 
Pole,hata mimi inabidi nifanye radical desicion hapa.Kuna thesis inanisubiri.lol
 
mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
utendaji kazi wangu umeathirika..
naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
nalala late...
nachelewa kuamka..
naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini jf..
nakosa muda wa kukaa na marafiki..
baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..

najuuuuuuta kuifahamu jf...nimeshakuwa addicted.
siyo wewe peke yako
 
Kitendo cha kuwa hapa muda huu kinakuepusha na mambo meengi sana mtaani ambayo otherwise ungekuwa unayafanya saa hii huko!..Ni bora ukarecharge modem na ukawa salama kwenye JF kuliko kuwa kitaa ukipiga mishemishe za kuhatarisha maisha!
JF-a good place to stay!

a good place to hang......!!!!
a good place to chill....!!!
good place to discuss serious issues....!!!
...........have fun
............get information
 
Kitendo cha kuwa hapa muda huu kinakuepusha na mambo meengi sana mtaani ambayo otherwise ungekuwa unayafanya saa hii huko!..Ni bora ukarecharge modem na ukawa salama kwenye JF kuliko kuwa kitaa ukipiga mishemishe za kuhatarisha maisha!
JF-a good place to stay!
hapo umenena
 
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..

Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.
Usijute mjomba,JF ni zaidi ya kondom kwa ukimwi,inakukinga na kukulinda kila mara uiwazapo na uwapo ndani yake,you just keep on browsing!!!
 
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....

Umenichekesha sana ndugu,inaonekana huwezi kuji-Control juu ya maamuzi yako,sidhani kama JF inaweza kukusababishia hayo yote uliyo ya sema hapo juu.Ushauri : kwa kua unashindwa kuji-control juu ya JF nakutafutia tiba yake Ambayo itakufanya uondokana na matatizo hayo ambayo unayapata kwa sasa---- kabla sijakupatia hiyo tiba naomba kwanza # ya Mupenzi wako.
 
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..

Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.

Mkuu una miezi miwili tu JF, kuna watu wako hapa tangu 2006 kwa hiyo Jipe Moyo Mkuu
 
Ha ha haaaaaaaaa, that is JF for you; soo addictive! Pole sana
 
M-bongotz angalia utendaji wako huko nyuma!

Jifunze time management katika kila jambo lifanye kwa kiasi. Technologia imeletae faida na madhara, pengine kwa kupenda kukaa kwenye kompyuta na kusoma au kupitia kazi za wenzako pasipo kupata pia muda wa kuchambua mawazo yao na kujenga ya kwako imekuwa ikiwafanya wengi katika kizazui hiki kushindwa kuwa "critical thinkers" na wagunduzi na pengine kuishi kwa staili ya "copy, paste & save changes"...wapo wengi wameathrika kisaikologia pia mpaka katika mambo ambayo yanazuilika na utendaji wao umeshuka mpaka katika mambo ya asili ambayo hayaitaji mafunzo hata kwa mbumbumbu kama "tendo ya ndoa" (si jui nani alikufundisha kwa kupitia).

Kama wajua tatizo lako ni rahisi kulitatua usije ukafia humu ndani...

usiache ubongo, vidole vyako na macho vikaathiri viungo vingine kutopata raha au kutenda yale ambayo Bwana ameviagiza vikapate kutebnda ili mwili na roho yako ikapate kufurahi ili hali na binadmu wenzio wafurahi pamoja nawe pia.

Amen.
 
Dah mwenye hii Avatar.anajua kuhubiri jamani hadi raha! Amen?
 
This man has serious point.......ila hajaweka hasa anachokitaka ni nini. You are not alone mtoa mada
 
Back
Top Bottom