October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.
Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.
Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.
Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado