Tetesi: Najuzwa hapa Habil ni mwanakitengo kuvumisha propaganda kusudi kuzima D9

Huyo Habili ni mpuuzi tu ,kila siku tunawaambia jamaa ni mpuuzi tu mmoja anayetumia Magic Voice kudanganya waTZ na kuwapumbaza ,mtu mwenye siri za nchi analeta blah blah mitandaoni? Wenye siri wanazimwaga tu hadharani kama kina Edward Snowden ,hawakuwa na propaganda ohoo nina ushahidi ushahid my a$$.

huu ndo ukweli
 
I know it from beginning he was bluffing
 
Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.

Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.

Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.

Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Puumbavuuu!
 
Kusingekua na majaribio meng ya kumshusha anapokea hewan kumpinga pia kumekua kwingi asingekua anatoa sir kubwa za serikali
 
Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.

Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.

Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.

Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
kakijana flani tapeli kama Mange
 
Mmemgeuka baada ya kuona picha zake amevaa kibaragashia
 
Habil anawapigisha soga tu na kuwadaka watu kind like double agent, huku mtandanon don't trust anybody to share the details amabazo ,itakuexpose. Habil anaongea sana kias kwamba amekuwa kama anawapigisha story na kusahau wanachotakiwa kujadili
 
Tushawazoea humu
Huwa mnapenda watu wafasnye mnavyotaka , mnawapangia watu 😄😄😄😄
Na nyie si mfanye kitu basi....

Sahivi mnajifanya kuongea shit mambo yakigeuka mnakuwa tena wa kwanza hapa kujifanya mnasifia
Ht 29 mlidis sn hapa leo mnasifia

Haya nyie mmefanya nn? Bora ht kupitia habil wengine tumejifunza mambo tulikua hatuyajui...

we wa kwenye keybord endelea
Wa wakutoka road haya...kuna wanaoongea km kina Msria,Mange etc
Kuna mtakaobski ndsni muuliwe vzr sawa
kila 1 na anachoweza ...🫤🫤🫤
 
Back
Top Bottom